Wanawake wa Kikenya

wanawake wakenya ni matatizo tupu hayo, ngumi mkononi, mapenzi SIFURI, kauli za ovyo, kupika hawajui kwa kweli yeyote anaetaka kumuoa mkenya namuhesabia miaka miwili mingi, Kwa uhakika muulizeni Mwanamuziki AY aliyezaa na yule demu wa kikenya. Wanawake wa kikenya ni preshaaaaaa!!!!
 
kaka ni sahihi wanavaa vibaya kinyama ishu ndogo kwao kubwa...wanachukia saaana waislamu na wameambiwa hvyo tangu wadogo labda mombasa...wana matatizo sn
 
Aoae mbali na kwao, asipodanganya anadanganywa. Mungu mwenyezi ndiye aliyeweka, dunia, mabaara, nchi akaweka na makabila. Mtu anayesema pasiwe na ubaguzi wa kikabila akumbuke kama ni ubaguzi alianza Mungu kwa kutugawa makundi ya Wanyakyusa, Wangoni, Wakenya Watanzania nk.
Unaweza kuoa Kenya au popote lakini lazima ujue tofauti zenu zitakuwa kubwa mno kuliko Mmbongo Mtz. Inatia shaka kama katika kabila lako lote hakuna wife material, mkoa, hadi nchi hakuna hadi Kenya? Na huyo mwanamke kwa nini hakuolewa kwao mpaka aje kuolewa Tanzania? Wanaume wenzako kwa nini hawajamuona wife material? Sio manung'ayembe huyo. Generalization sio kitu kibaya ila it needs to be taken with great care, majumuisho mengine yanafaida zake tusikariri tu ati tabia haihitaji generalization
 
hawa ni pasua kichwa. mimi nilishawahi kuwa nao baadhi wakati naishi NAIROBI ilikuwa tabu aisee kwanza pesa mbele na anataka OUTING kila jioni tena hataki hoteli mshenzi anataka twende INTER-CONTINENTAL, SERENA etc. KAULI ndo usiseme kila saa ni ugomvi.
 

Mke au mme mwema hutoka kwa huyo Mungu! Tumeona watu wameoana wa kabila moja na bado walidivorce, tumeona watu wameoana wa mataifa tofauti na wamekaa kwa ndoa zaidi ya miaka 50. Sso ndugu omba Mungu akupe mke au mme mwema. Mimi nimeolewa nje ya nchi niko mwaka wa 39 wa ndoa na sijawahi kuregret. Wazazi wangu ni wa makabila tofauti mpk leo wako kwa ndoa.
 
Hongera with exceptional
 
Duh mi ninae muembu ila naona yuko poa tu sa hv karibu tunafikisha mwaka akija home kama kuna nguo anafua na nyumba anasafisha na msosi anapika aina tofauti siku nitakavyojisikia na upande wa hela hadi mimi mwenyewe ndo najishtukiaga nampa ila ukikaa kimya anaweza hata asikuambie chochote unakuta ataongea na dada yake au mzee wake kwamba ana shida huyu kwa mda wote niliokua nae hajanipa stress kabisa kama mademu wa bongo
 
Mkuu hao wanawake wa kikenya naona kama ni MAPEPE mno na mapenzi hawajui yaani wao wanawaza pesa tu
 
Ila sa hv bwana hata wabongo nao pesa mbele tu hakuna tofauti
 
yaani mi MTU HANIDANGANYI KITU KUHUSU MADEMU wa kenya , , , , , rafiki nakwambia heri uchukue demu mkenya kuliko watz wanaohusudu uchawi na limbwata,suala la pesa halipo kwanza wengi wao ni wachakalikaji sio tegemezi,mademu wa bongo wako tayari akupe tigo umnunulie simu ya instagram,wenzao wakenya ni wachapakazi
 
Wakenya naishi nao miaka sasa ila usema kweli hawa wanawake wa kikenya hawajui kurudi chini mnapokosana kitu kidogo,wengi wao hutoroka nyumba zao kisa ugomvi mdogo tu!,Ni wakali sana kama pilipili kichaa huchapa waume zao,hawataki uwa-controll wana taka mwanaume awe chini ya familia,wengi hujipodoa sana ili wawe weupe matokeo yake wanaonekana kama mazimwi,wana hasira sana,wengi hupenda kujiona sana (masifa) mchepuko kama kawa huku unajulikana kama MPANGO WA KANDO! wanaongoza ku-devorce waume zao na kuwaanika mitandaoni.
 
wanawake wa kikenya kuwaoa inabidi ujiandae na dawa za kutulia PRESHA pembeni
 
Wasichana wa kenya kama kweli akikupenda na wazuri sana ila tatizo usimsaliti hapo utakuwa umeharibu vibaya.
Asilimia 90% ya watanzania waliooa wakenya ambao ninawafahamu ndoa zao zimedumu hadi sasa.
Ila ni ambitious na aggressive when it comes maendeleo ya familia lakini kwa ujumla ni very faithful kwa waume wao
 

Mkuu ungespecify tu kuwa ni wa mombasa lakini sio wale wa nyanda zingine wanaopiga wame zao hata kudeka na kubembelezwa hawajui...
 
Siwezi kuoa Mwanamke ambaye shikamoo haipo mdomoni mwake...hata akikutana na baba yako mzazi anasema Sasa... au Nianjee chalii
 

Ni kabila gani la kenya linafunda wanawake?
 

Mkikuyu wa kenya ni Mmachame wa TZ kwa tabia....Nimemaliza,kaoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…