Mkuu Changanya na zako!Kama yaliyosemwa hapa yote hayaendani nae fuata moyo wako!Kesho utataka kujua Mchagga then Mluguru mara sijui Mhaya...utamwagiwa negative tu!Tofauti ni kwamba wenyewe wenye hayo makabila watakuwepo kujitetea...sasa hivi hamna Mkenya kwahiyo wabongo wanakanyaga tu!
Kaka hunifahamu na sikufahamu ila nakuomba tafuta mwanamke mwingine wa kuona siyo Mkenya kama hujawahi kupata moto wa mahusiano hapo utauonja nimeshapitia zaidi ya mara moja ya kwanza nilidhan ni bahati mbaya ya pili na ya tau ni kichefuchefu zaidi na sitaki kuona mtu anapitia nililopitia mimi
Pamoja na ushauri wote waliotoa hapo juu jingine ni kuwa kama utaishi naye na kubahatika kupata watoto siku mkiachana lazima anahama na watoto wake wote
Kwa kenya mtoto ni wa mama sio wa baba kama Tanzania
Desidiii, acha kelele, wanafaa kuolewa wapi jamani????????????????
Sio swala la kelele hao wanafaa kuoana wao kwa wao tena kabila kwa kabila huwezi kuta mluya kaolewa na mkarenjini hata siku moja au mjaluo na kikuyu, au mkamba na mkisii, Wewe unatetea ujinga tu wenyewe kwa wenyewe hawawezani unategemea aje tanzania ataweza wapi
Unapishana nao mjaluo anaongea akikutana na mluya wanamsema huyo mluya mara huyo mkarenjini mara huyo mkisii haja**** wewe acha kabisa mara wanawake wa kikamba hawajui kupika, wakiluya hawajui mapenzi.
Ungekuwa umepata wa Mombasa ningekushauri lakini wanawake wa bara usisogelee kaa mbali kabisa
Halafu wakishaona kuna ka neema fulani huko mbele atakuganda kama ruba kifupi hawa siyo wenzetu wana dharau za kichinichini na umalaya usiopimika na kwao tabia ya umalaya ni kosa la bahati mbayatu
Kuna mmoja humu jamvini alijaribu kujitetea kama ilivyo kawaida yao lakini alichokumbana nacho humu ndani mpaka leo sijui kapotelea wapi ni hizi mtanzania na mganda au mrundi na wakongoman wanweza kuishi pamoja ila hawa wenzetu ni matatizo matupu ukiwaliuza watakwambia tunawaonea wivu kwa sababu ati wao wako agresiv na wamesoma sana kuliko wa tizoo
Kuna mmoja humu jamvini alijaribu kujitetea kama ilivyo kawaida yao lakini alichokumbana nacho humu ndani mpaka leo sijui kapotelea wapi ni hizi mtanzania na mganda au mrundi na wakongoman wanweza kuishi pamoja ila hawa wenzetu ni matatizo matupu ukiwaliuza watakwambia tunawaonea wivu kwa sababu ati wao wako agresiv na wamesoma sana kuliko wa tizoo
H.A.W.A.F.A.I!
We piga, tembea.