i second you kakaIla kusema ukweli..hii siku hizi ndo inatufanya wanaume tudharauliwe...kumpenda /kumtongoza mtu unaomba ushauri facebook au jf...siku hizi sijui kuna nini...?
niangusage hehe he he .... ni wanawake wazuri tu wanajua mapenzi ni watamu
umejuaje kuwa watamu umeonja au umambiwa?