Tutajuaje kama nawe hutumii hiyo dawa? Tena kuna staili nyingi kuna wengine mwanaume akitoka nje ya ndoa huko mwanamke anayekutana naye anaanza bleed ya ghafla na mchezo unaishia pale, CHEZEA KIGOMA WEYE???????
Dah...mi nawatafuta wa hivyo aisee
Mh.. vipi Boss what has happened to you then..!!Dah...mi nawatafuta wa hivyo aisee
Inabidi tumuombe Prishaz atuuzie kimya kimya hiyo dawa!
@Prishaz mamaaaa, fanya kweli basiiiii!
wacha kabisa mawazo ya kutumia hii kitu,ukifa ghafla mumeo atakuwa Cameron maana jogoo litakuwa halipandi mtungi.Nalog off
Evarm,mbona mimi nimetulia?Madawa ya nini tena?
Ushaanza kuleta siasa hapa...hapa tupo kimahusiano zaidi! Siasa zina muda wake, sasa hivi tupo kwenye social aspect ya life bro!!Ingekuwa watu wote waaminifu hivyo kusingekuwa na habari ya kuvuana magamba.
Mwana Mpotevu, amini nikisemacho bwana mbona unataka kuwa tomaso lol..kimsingi nilitaka nipoint out kuwa yaweza kuwa tabia ya mtu binafsi au watu wachache lkn si vema kugeneralize maana hawa watu wanapatikana mkoa wowote TZ
natafuta shost wa kigoma anipe nimuwekee wangu mana hasikii loh!
Ita make sense tu kama hao wanawake wao wametulia. Otherwise ni uonevu. lol
wanawake kweli ni wavumilivu....yaani unafahamu kuwa wako ni kicheche halafu bado hujachukua hatua zozote kumnusuru?
wacha kabisa mawazo ya kutumia hii kitu,ukifa ghafla mumeo atakuwa Cameron maana jogoo litakuwa halipandi mtungi.Nalog off
Usijali Prishaz, inabidi uchukulie simple tu, kwani wote tunajua sio wote wa Kigoma wana tabia kama hizo!
sawa mpendwa bora umenipa moyo,karibu kigoma Evarm
...hii isigeuke porojo za 'wabongo'. Kuna opportunity hapa, kuna ajira hapa, kuna solution ya mitafaruku majumbani hapa. Mwenye kujua ukweli kuhusu hii dawa ya Kigoma tuwasiliane fasta. Tuache kuishi ndani ya box kutegemea solutions za matatizo kutoka Ulaya (au kwa Wachina). Na sisi TUNAWEZA kutoa suluhisho.
Kumbe upo serious mkuu, ngoja nikamwambie kalumanzila akuPM fasta!
Hadi kalumanzila nae ataanza kutoa huduma humu JF soon.