Duh hiyo ni advantage kwa wanaume vijogoo! Rate ya kusambaa kwa HIV ingeweza kupungua.
Dah...mi nawatafuta wa hivyo aisee[/QUOTE
kuna maswali mengi ya kujiuliza ktk hili
Lakini hiyo ni kwa upande mmoja, huenda yeye mwanamke anaenda kujirusha na vidume vingine kama kawa, so tatizo la ukimwi linakuwa palepale
Dah...mi nawatafuta wa hivyo aisee
Karibu Ujiji!
we usingechangia humu ningeshangaa sana..lol