Wanawake wa kichaga mkoje?


Kama ukweli ndio huu, kwanini watu wanawashobokea. Si wakaoe mbuzi kama wamekosa makabila mengine ya kuoa?
 
...

Nami nasema wawapige tu. Tena sasa waanze kuwatieni bakora makalioni mwenu mpate akili zaidi. Na mpigwe tu.

Mkuu, mi nashauri ule mtindo wa kuwaua kabisa urudishwe kwa ari mpya. Wananeng'eneka mno hawa vyasaka. Wakifa malalamiko hakuna...

OASN... wanaoanzisha hizi mada nahs huwa ni haohao wachagga wanatafuta tu kick.

Soon zitakuja zile za kuhusu kutembelea rombo, mara akuna km mwika, etc. Msimu umeanza....!!
 
Majuto ni mjukuu huja baada ya vitendo,lkn kumbuka kila anayejuta ni haraka na ujinga wake ndio unaomfanya ajute,kama unafanya unachokijua,basi amini haitaishi maisha ya kujuta,asilimia zote watu wanaojuta ni matokeo ya kutokufanya study ya kutosha juu ya jambo wanaloenda kulifanya,before doing anything unatakiwa ujue ad na disadvantage ya hicho unachotaka kufanya!!
 
Bwa shemeji lazima uishi kwa kanuni au sio? Mambo yakienda ovyo mnasaidiana na kuambiana tu.

Ewaaaa.... hayo ndio maneno bwa shemeji. ukiona dume linalialia kupelekeshwa na mkewe.... afu linatafuta sababu ya kujitetea linaangukia kwenye kabila ujue hilo dume si rizki.

Yani kutongoza utongoze wewe, mahari utoe wewe, kutia utie wewe afu mwanamke akushinde wewe..... hilo kosa la nani bwa shemeji?.
 
Kuna mtu aliyekulazimisha uwafuate? huwezi si unaacha? yanini kulalamika mziki mbovu kumbe we ndio hujui kucheza?? Ukiona huwawezi we chapa lapa.... wanaowaweza watawachukua na wala hutasikia hiki kilio kama cha fisi mwenye njaa aliyekosa mzoga.

wew ni mtunzi wa nahau na methali huna hoja ila ndo ubadilike ujumbe umekufikia, Man cant be be awoman and viceversa,,,,,take your postion. be apositive thinker sio ilimradi umepost!,,.kama kuna tatzo c ukubali tu mim kama nina tatzo nikiambiwa nafurahi sana coz inanipa nafasi ya ku change n cope with the morden world sasa wew endelea na methali zako za mwaka 1960 wakati wa uhuru this is 2014.
 

Hahaha kweli mkuu..... maadam maiti hazilalamiki, haziliilii hovyo, hazianzishi thread..... basi na wawaue tu. Naam nasema wauwawe tu LOL
 

We chapa lapa bana. mziki wa dada zangu huuwezi.

Ukiona kitu hakikufai kwanini ukishobokee?

Mi sioni tatizo la dada zangu ila naliona tatizo la wanaowataka dada zangu lakini wanakosa vigezo. Ndo wale wale wanaosema mi siwezi kuoa mzungu kwakuwa eti Kei zao ni za baridi..... Sababu za kitoto kumbe mziki mzito.

Chapeni lapa acheni dada zangu wapumuwe. Msipowaoa tutawaoa wenyewe.....
 

Waambie wanafikiri uanaume ni kuficha p****mbu kwny suruali au kuwa na uwezo kipesa,kielimu,etc.haijalishi ke ana hela,Mali,elimu ,hana chichote etc Me lazima uwe na busara na hekima ya kumwongoza ke.Akikushinda kubali una mapungufu na mwanamke akijua at a take advantage kukuvuruga mpaka utie akili.Mwisho mnakuja kulalama hapa name makabila??
 
kumbe ulikuwa haujaiskia ile nyimbo ya nikki wa pili,nje ya box,alisema hataki demu wa kitanga ukirudi mabusuu tuu hata kama umerudi mikono mitupu,anamtaka manka wa kichaga,jioni anauliza umeingiza shilingi ngapi?Big up kwa wamama wote wa kichaga,yaani wanawake waote wangekuwa kama nyinyi tusingeona ma marioo wala mabishoo wapaka poda,kazi ndio ingekuwa mpango mzima
 
Daa mtihani huo nnao ndugu yani ugomvi na maneno mengi ya kuudhi;yani jamb jambo unakuta analalama kweli
 

afadhali umwambie wewe labda atakulewa sisi alikuwa anatubishia tu.
 
Bwa shemeji naona unawahesabu "ngauti" zako tu hapa. Dada zangu wanaonyeshaje kazi? Wape mbinumbinu bhana....

Hahaha..bwa'she mie nacheka tu vile vidume vinavyohenyeshwa..hahaha!!!!
 
afadhali umwambie wewe labda atakulewa sisi alikuwa anatubishia tu.

Wewe bhana wewe.... we inaelekea dada zangu bado hawajakunyoosha vizuri. Subiri zamu yako ifike.
 
Hahaha..bwa'she mie nacheka tu vile vidume vinavyohenyeshwa..hahaha!!!!

Laiti wangejua mbinu nyepesi na rahisi sana ya kuwapatia dada zangu..... lakini waache kwanza wanyooshwe watie akili.
 
Napenda weupe...ila sio wakichaga asee...niloyasikia na kuyaona yanatosha kunitisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…