Wanawake wa kichaga mkoje?


hamna banaa. sasa ukisema ubadilike uwe kama jamii inavyotaka utabadilisha vingapi? by the way jamii ipi? maana ushasema hata wao kwa wao (jamii moja kimila na desturi) wanajuta kuwaoa wanawake wao. Manake ni kuwa hakuna jamii ambayo ni homogenous. Kwa hiyo mwanaume wa kichaga akimponda mwanamke wa kichaga haiongezi uzito wowote. Hata watu wa familia moja wanatofautiana tabia na mitazamo. Ndege wa kundi moja waruke pamoja. Kila ufunguo utafute kufuli yake na si kung'ang'aniza kufuli libadilike ili ufunguo uingie.
 
Suala la pesa halina kabila wala dini. Na kazi ya mwanamke ktk familia ni kuhakikisha baba unafanya mazuri kwa ajili ya familia. Sema uyo anakubana sana. Mzowee, control pressure yake. Do your best
 
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!

Mkuu sana, mwanamke wa kichaga hawezi kukubali kuolewa na mtu asiye na mbele wala nyuma. Sasa hao jamaa wakishapigwa chini na dreams zao za kuoa wachagga zikiwa haziendi kwenye uhalisia ndo hizo kelele wanakuja kutupigia humu...

We hushangai pamoja na makelele yote humu JF ila huku tunakoishi ndoa za hao mabinti zinafungwa kila weekend. Kusingizia wamama wa kichagga ni makatili na wana roho mbaya ni uongo mtupu, hata hapo mtaani unakoishi pita waulize wauni siku akiwa hana hata senti ya chakula ama msosi ni nyumba gani anakimbilia kama sio kwa Mama Ngowi, Mama Kileo, Mama Mushi
 
Jaribu kuleta hoja kiongozi. Kama watu wanaona tatizo sehemu ni lazima waseme. Sidhani wachafga ndo mti wenye matunda, binafsi siwasemi coz sijwahi ona tofauti yoyote, mine is so sweet. Lakini kama mnasemwa jaribuni kujichunguza..

absolutely mkuu
 
Sikubaliani na wewe hata kidogo. Wadada wangapi wa kichagga wanamaisha mazuri? Wangapi tunaona wameolewa na watanzania wa kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana? Nenda moshi uone kama kweli hamna wadada wakichagga wanaoishi na mabwana wa hali ya chini sana tena sana tu...!

Tatizo ni obsession inawasumbua walio wengi. Tamaa ya vitu wasivyokuwa na uwezo wa kuvipata katika hali ya kawaida.
 

Sasa kama mtu aliingia na mapozi ya kumnunulia gari mtoto wa watu na kujenga jumba la kifahari unategemea nini. Acha wavune wanachokipanda. ukimuahidi dada yangu kitu afu usitimize lazima uje umfungulie thread hala malabuku zako. Nawafagilia sana dada zangu. big up sana dada zangu.... vuteni sharubu zao mpaka wakome shenzy zao na nusu.
 
Asprin ameshaanza kutukashfu aisee..!

Hahahahaa tatizo mmeanza ninyi kashfa. Dada zake mnawang'ang'ania huku mnajifanya kuwaponda....akina sitaki-nataka
 
Last edited by a moderator:
Asprin ameshaanza kutukashfu aisee..!

Hapana bw shemeji. mi sina neno na wewe. aftaroo umesema dada angu hafurukuti kwako. Na huo sasa ndo uanaume. unashindwa kumdhibiti mkeo unakimbilia kwenye kabila. shame!!!
 
Last edited by a moderator:

Hebu toa uongo hapa.. Mwanamke wa kichagga akiolewa haruhisiwi kulala kwa baba yake wala kaka zake.. Unless ni msiba wa mtu wa karibu sana na huna sehemu nyingine ya kulala.. Sasa umpeleke chasaka kijijini utamlaza kwa nani?
 
Nakuona unavyowapa promo dada zako wakati mi hujawahi kunisifia...kwan mi sijui kutafuta mahela??

Wewe tena sweetie? Ukiona kimya ujue umenikuna ati. kama vipi mbona ningeshakufungulia thread siku nyingi?
 
Hahahahaa tatizo mmeanza ninyi kashfa. Dada zake mnawang'ang'ania huku mnajifanya kuwaponda....akina sitaki-nataka

Umeona eh... yani unakuta jitu linawakashifu dada zangu wakati ndo linaelekea kwa paroko kuandikisha ndoa na mtoto wa kirombo....
 
Hebu toa uongo hapa.. Mwanamke wa kichagga akiolewa haruhisiwi kulala kwa baba yake wala kaka zake.. Unless ni msiba wa mtu wa karibu sana na huna sehemu nyingine ya kulala.. Sasa umpeleke chasaka kijijini utamlaza kwa nani?

Umeona eh?
 
Ukiona demu anapenda pesa jua katoka katika mazingira magum chaguo ni lako kumtafuta mwanamke anae kupiga mizinga au
Mwanamke mwenye mipango ya maendeleoo that's all
 

Mkuu unaweza ukawa maskini lakini unaonesha nia ya kutoka kwenye huo umaskini.. Usitegemee mdada wa kichagga atakukubali kwa umario wako mjini, jishuhulishe hata ukirudi na buku nyumbani ye roho nyeupe
 
Tz kuna makabila zaidi ya 124,kwani lazima muwaowe wadada wa wachaga?Waacheni na tabia zao,Mlipokutana hukuja kutoa taarifa hapa iwije yamekushinda mbio JF?

Tafuta pesa pesa kijana umeowa mtambo wa matumizi na malengo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…