Nadhani anatafuta mbinu ya kufikisha ujumbe ili kujenga familia yake bila kuleta ufa. Mahusiano miaka yetu Yana shida Sana Khantwe, watu wapo pamoja kwa Nia tofauti. Huyu anataka umzalie awe na watoto na aitwe baba, mwingine anataka aolewe ili aweke heshima kwa wenzake, huku akitafuta sehemu nyingine ya kuchuma pesa...! Ni tabu tupu miaka hii..!
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!
Waache kutuoa.......wanatung'ang'ania wa nini........waende kwenye hao makabila wengine........
Wachagga are there to STAY........miaka 800.........
Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!
Ni madhara ya matambiko na mila wafanyiwazo sana na wazee wao...
Wengi wao si kwamba wanapenda kuwa hivyo na kimsingi hata wanaume wa kichaga wana shida sana ndoani...
Eli79 , kama ni tamaa ya hela ya kwetu ipo juu sana basi ndo maana tunaitafuta kwa hali na mali.Ukioa mwanamke wa kichaga lenu liwe moja kuitafuta pesa kwa hali yoyote .Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!
Ifikapo saa kumi jioni leo nataka list ya vyasaka ulioshawahi kuwashughulikia. adhawaiz mi si kaka yako.
Baada ya Mungu inafuata hela..... Mapenzi hata nyau wanafanya.
Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo ndo mpango mzima.
And the list continue........kubafu zao........and you know wora am seyin........ha ha ha ha..........
Wanatutaka na sisi hatuwataki........
Umeona ee, wakati naolewa wajita wale walimkalia mme wangu kooni eti kwanini anaoa mchaga, nashukuru aliwaambia sioi mchaga namuoa mkabasia.Hahahah watu bado wanaishi kwa historia kama litimu langu la liverpool.
Hiyo ndo shida kubwa..umesahau mwingine anataka aoshe tu rungu mahari akatoe sehemu nyingine. Ila nakwambia ni raha sana mkikutana watu wenye nia moja
pole sana mkuu. hiyo ndio tabia halisi ya akina mamka. chezea mchaga wewe!
pole sana mkuu. hiyo ndio tabia halisi ya akina mamka. chezea mchaga wewe!
Habari ya usubuhi shemeji?.Umeona ee, wakati naolewa wajita wale walimkalia mme wangu kooni eti kwanini anaoa mchaga, nashukuru aliwaambia sioi mchaga namuoa mkabasia.