Wanawake wa kichaga mkoje?

Nimewahi kudate na binti mmoja wa kichaga ni complicator huyo achenii, facts ndogo tu kuelewa ni ishu, tukaachana for good tu. Naunga mkono kabisa hawa wachaga baadhi yao hawako sawa, badirikeni !
 

Ndoa yenu ina muda gani/miaka mingapi?
 
I have learned my lesson,but cha ajabu nina bahati ya kuwa na machick wa kichaga i wonder why,labda mnisaidie niende upande upi wa Moshi?

Rombo kuna unafuu usiende Machame wala Siha.
 
Wachagga wachafu
Tamaa mbele (kupenda pesa)
Waana sifa mbaya ktk ndoa wanamambo ya ovyo saana
Ubabe usio na msingi na vngnevyo visvy ata na msing ktk jamii
Time to change chagga's
 
hahaha pole mkuu kwa yaliyokufika but kumbuka kila mtu dunia hii anapenda pesaaa hata ungeoa mzungu sijui mchina vitu kama hivi ungekutana navyo tuuu
msiwalaumu wao tuuu hata makabila mengine wapo wanaolenda pesa kuliko hata wachaga

Bora mtu apende pesa na pia awe na utu na akupende
 
Nani kakuambia naoa au nina mpango wa kuoa huko?

Acha kutokwa na povu chakubanga mkubwa ww nan akupe mke kule lile kabila tunalijua sisi coz wale ni rafki zetu kojoa ulale
 
Acha kutokwa na povu chakubanga mkubwa ww nan akupe mke kule lile kabila tunalijua sisi coz wale ni rafki zetu kojoa ulale

Unataka nikukojolee ndio nilale?...nani kakuambia anawataka hao wenzako? Nimeishi nao nawajua...ukiondoa masela wa klm hao wanawake watakukamata nyota wewe tu kuz
 
Ndorobo wewe ulikuwa ujui wachaga wanapenda sana pesa! Tafuta mtu mbadirishane...
 
pole kuongozi naona yamekukuta
 
Tuna kazi wachaga.
Post ya wachaga ikipita inaanza ingine!!!
Zikiunganishwa itakuwa post ndefu kuliko zote!
Cha kujiuliza nyie wavulana ni ushujaa kutemnea na msichana na kujisifia umemuacha?? Mimi naona ni tabia ya sekondari.

Ni jambo la busara kumuanila mkeo au mumeo madhaifu yake kwa watu? Huo ni ushamba uliopitiliza au dalili ya depression na kukata tamaa.

Kwa hio ni kweli kuwa mwanamoe wa kichaga anahiyaji mwanaume wa ukweli sio feki mradi kavaa suruale.

Kajipangeni. Hii kulialia ni dalili tosha kuwa you are weak!!!
Ila poleni jamani.
Hongereni wanaume wa ukweli mnaoweza kuishi na wanawake wa ukweli. Wachaga.
Hakuna unafiki. Unataka udanganywe kuwa ww ni mfalme wakati ni boi? Sio nora uambiwe ukweli ujipange?
Tunasimamia tunachoamini. Tunaelekea mafanikio. Ukweli unatuweka huru.
 
Ukipata mchanganyiko wa mmachame na mmeru utalia kilio na lusaga meno full money manic
 
We mwejyew tu mkorofi kama ulioa na hutak kuhudumia mke ulimuoa wa nin? Ungeenda kwa hao makabila mengine yanayojua kuvumilia shida. Ukioa mchaga uwe na akili ya kutafuta pesa.
 
Wachagga akili zao ni kutafuta pesa maisha yaende poah, tatzo ubovu wa watz ni uvivu na kuwaza mapenz tu vichwan mwao kila saa, sasa nan anaweza kuvumilia mvivuna muwaza ushenz tu. Tafuten watanga jmn, kwan mnalazimishwa kudate wachagga! maana mara mchagga kafanya hv mara hiv si muwaache tu tafuten hao wanawake wasafi na wenye roho nzuri, kaz kuanika wanawake zenu tu. jinsi gan msivyofundwa kwenu, nyie pia hamfai kuwa w'ume za watu..!! psiiiiii
 
Jua mna matatizo na kasoro sana ndio mana mnatajwa. Maana ktk thread kumi utakuta tisa ni znazoanika dosari au matatizo yenu.
#sio mnajifariji eti mnatajwa kila mara, mnatajwa mbadilike kunguni nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…