Wanawake wa kichaga mkoje?

Mario kaa mbali kabisa ukileta pua uchagani must uwe toilet keeper.....kuflash choo cha mkeo.otherwise ukubali kudumpiwa tu
 
Mmmh... Sio kweli. Hata nyie mna statas za kawaida sana. Naona sasa mnaanza kujipaiaha kisa mnapewa promo.
 
Mbona nawewe umejumuisha sa.
 
Mmmh... Sio kweli. Hata nyie mna statas za kawaida sana. Naona sasa mnaanza kujipaiaha kisa mnapewa promo.

Status iwe kubwa au ndogo me ukishamtegemea m/ke unakosa stamina ya uanaume ,utadharaulika tu,
 
kunihemesha au kunichuna nibaki mweupe

Wajanja hawachuni. Analeta zengwe mpaka uwe tajiri na mzae watoto japo wa2, kinachofata ITV....

Mkuu kama utamuoa huyo mchagga kaa tayari kwa lolote. Si unaona watu wanavyolaumu humu?
 
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!

Wengi wao ni vichaa na hawana aibu wala busara. Na hiyo ni kwa sababu wana adrenalin nyingi mwilini.
 
hao nshathibitisha hakuna kitu, ila wanavutia hasa hadi kuna wakati najiulizaga au ni wengi hapa nchini?? maana kila ninaponasa ukiuliza kabila unajibiwa mimi mchaga.
 
Hatari kaka
 
Pole, tatizo hapo sio kabila bali ni malezi

mkenge huo lazma uliufumbia macho wakati mnaanza mapenzi sasa umefunguka macho unajuta

Kumbuka... kuoa pesa kuacha bure

changanya lapa
 
Ewaaa..... chukueni mahela kwa hayo masembo tukadumishe mila sisi. Wapigwe tu.

ha ha ha ha sawa babu na ya kirisimasi itakuwa tamu kweli aisee... akigoma kutoa kwa hiyari natumia nguvu
 
hao nshathibitisha hakuna kitu, ila wanavutia hasa hadi kuna wakati najiulizaga au ni wengi hapa nchini?? maana kila ninaponasa ukiuliza kabila unajibiwa mimi mchaga.

Kuna wengine wanasingizia uchagga wakidhani ni dili kumbe hakuna lolote...
 
[
Mkuu pole, Hii ni tabia ya wanawake wa kisasa uelewa wao ni mdogo sana, na siyo kabila inaweza ikawa Babati mbaya umekutana ni mchagga lakini ni tatizo linawakuta wanasemaje wengi wa sasa. Ni kukuza buti na kunyesha wewe ni mwanaume na kuondoa Dharau

QUOTE=nandembako;11128821]Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.

Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.

Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…