Wanawake wa kibongo niwaoga sana!

Wanawake wa kibongo niwaoga sana!

Hata ningekua mie ningekukimbia mwenzangu ukibakwa unabakiwa nyuma yanini mie niharibu kizazi changu kwa sababu ya mwanaume mjinga kama wewe ambae unaona kabisa ni usiku wa manane lakini unamwagiza mwanamke wako atangulie akatafute boda boda huo si ni wehu!
Imagine kama huyo mwanamke alikua akifatiliwa na kidume huko Club alafu akakuona umeingia Chooni wakati yeye bibie katoka nje si wangekufungia mlango wa choo wambake huko nje alikokwenda!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kumbe na wwe ni walewale wacha uoga mkuu,sikujua kama mazingira ya pale ni hatari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa,kula,kucheza muziki, kukojoa,kukabwa,mizimu ya kisukuma,kungfu,karate,mieleka,Field Mashauzi,Taliban,sarakasi,Mullar Omar,Bruce Lee.nk ..duh yaani mambo yote hayo kwenye robo paragraph kweli wewe kiboko...jitahidi unakipaji wewe....

Na wewe unakipaji cha kusurmarise inafaa akuombe uwe unamsaidia kuedit story zake.
 
Unamtumaje mwanamke akatafute bodaboda [emoji15]hata kama ulitaka kwenda toilet ungemwambia akusubiri... alikukomesha.
 
Back
Top Bottom