nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 694
- Thread starter
- #61
ningempenda tu mkuu!.Sasa Akialibiwa sura utamtaka tena si bora alivyo harmolapa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
ningempenda tu mkuu!.Sasa Akialibiwa sura utamtaka tena si bora alivyo harmolapa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] sawa mkuu!,nimejifunza!Kijana, siku ingine usithubutu kumuacha kipusa peke yake sehemu za starehe. Hata kama ni uani nenda naye. Wigwa Ng'wana Malundi? Nahene lolo!
[emoji23] wanawake wa ki kyura wakofiti kkuu?TEMBEA NA MKE WA KIKURYA
Nimeshindwa kumshangaa! Alafu anaona sifa kabisa!!!!Saa nane usiku unamtuma mwanamke afate boda? We kweli kishtobe....
Huyo mwanamke nae ana moyoNimeshindwa kumshangaa! Alafu anaona difa kabisa!!!!
Wanaume wanazidi kupungua.
[emoji12] hata kama ni karibu,mkuu huwezi kwenda?mkuu bwana eti afuate boda boda siendi
majukumu gani nimemkabihi ambayo si yake?Tatizo ni wewe mwanaume wa dar. Hujui jinsi ya kumtreat mwanamke, ana akili sana akivyokimbia maana unamkabidhi majukumu si yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Duh hao noma!nyaggad YEAH, WA KIKURYA WA KIJIJINI KABISA, ATARUKA KARATE MPAKA UTASHANGAA, ILA UKIWA LOFA ATAKUPASUA.
Aisee!,wwe ndio unafaa sana mkuu!Mi siwezi muachana aisee,,,ningekaba mmoja
Kumtuma akatafute usafiri sehemu hatarishi, huo ni uzembe. ilitakiwa wewe ndo ufanye.
sikujua kama hiyo sehemu ni hatarishi,maana sio mwenyeji sana maeneo hayo!Kumtuma akatafute usafiri sehemu hatarishi, huo ni uzembe. ilitakiwa wewe ndo ufanye.
[emoji12] kwa ajili ya self defence![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] halafu vijana wengi wanajifunza karate siku izi
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Fala grade oneSaa nane usiku unamtuma mwanamke afate boda? We kweli kishtobe....
full kupiga ngumi aisei mpaka utashangaa kuwa huyu ni mwanamke