Wanawake wa kibongo na maisha ya mteremko

Daily Dream of Ready Made men -Kuna wanawake wengi wamefia hapa na kubaki ndani ya mijumba mikubwa na magari ya kutosha lakini love hakuna ,wanakuwa watumwa wa wanaume matajiri.Hii Tabia ni mbaya sana badilikeni tafuta mtu muanze naye from Zero and you will never regret.
Never regret??there are no guarantees mkuu
 
Kila Siku wanashinda kwenye nyumba za ibada, wakifunga na kuomba ili wapate wanaume wa kuwaoa.

Hilo ni jambo jema sana, maana sisi sote kimbilio letu ni MUNGU tu.
Pamoja na yote hayo, hebu jaribu kuwadodosa mawazo yao hao wanaomlilia Mungu ili awapate waume wa kuwaoa, utachoka na kuishiwa pozi kabisa,kila mmoja wao anawaza aolewe na mwanaume mwenyewe gari zuri, nyumba nzuri, kazi nzuri au biashara kubwa, wanamwomba Mungu halafu tena wanampangia na aina ya mume wanayetaka, hii ni sawa na mtu ana njaa, anakuomba chakula tena masharti na mkwara juu, kwamba ni kweli ana njaa, ila hataki ugali dagaa, anataka umpatie chakula chenye gharama Kubwa.
Na ndo maana Mungu hajibu maombi yao, miaka inaenda, rudi, hadi sura zao zinaanza kuchuma kunde, mwisho wanakata tamaa na kuwa ma senior spinsters.

Unadhani kuna mwanaume mjinga aliyetafuta pesa Kwa shida hadi akafanikiwa eti akuchukue tu wewe ule bata, Thubutuuuu... na kama akikuchukua basi ujue mpo wengi na si peke yako.
Wanapenda sana mteremko, hawajui maana ya ndoa, kwao ndoa ni starehe na kula bata, kila mara wanabaki kupeana moyo eti ipo Siku na wao watakuwa Kama flani aliyeolewa na tajiri flani, nyooooo... hilo zali huwa linatokea mara moja baada ya miaka 50.

Halafu wakiambiwa ukweli ni wakali Kama pilipili.
Bure ina tabu yake, jengeni tabia ya kuishi na wanaume toka wakiwa maskini hadi wanafanikiwa, Kwa maana ya kwamba mtafute wote mali, na siyo tabia yenu ya kudandia magari Kwa mbele, ndo maana yanawagonga na hamwishi kulia kila siku.

Kwa tabia zenu za kuwaza kuolewa na waliofanikiwa tayari mtasubiri sana, matokeo yake mnaanza kuchukia wanaume bila Sababu .
Waoaji wapo wengi sana ila tatizo nyie mnachagua sana, shauri yenu na muda si rafiki, yetu macho.
What if mwanamke pia kafanikiwa kw kiasi kikubwa mf ana elimu na some assets,..atazodoloewa kutaka high class man?
 
Naona umesahau kuzungumzia wanaume wanaopenda wanawake wenye kazi na mali. Haya ni mabadiliko ktk jamii. Mbona sikuizi amuoi wanawake kutoka vijijini kwenu, kama nyie watafutaji kweli?
Ahsantee
Wanaume wangapi wanaoa magolikipa sikuhizi
 
Mapenzi ndo jambo la msingi,tatzo kila mtu ana definition yake
 
Never regret??there are no guarantees mkuu

Guarantee haipo kila mahali ila risk kubwa ni kupenda mwanaume aliyejijenga vizuri na mara nyingi anajifunza kukupenda .Jaribuni kuwa rational na kuanza mapenzi/relation /affair na mtu wa wastani it may last longer.Sisi wanaume tukiwa na hela za kutosha na mali tunatabia ya kuwafanya watumwa wenzi wetu hasa kama wametukuta tumeishakuwa stable financially.
 
It depends kama mwanamke unakua tegemezi kwake au la,Kama ni tegemezi lazima utumike utaenda wapi wakati ndo anakuweka mjiji,Kama humtegemei hatokuendesha coz with or without him unaweza jihudumia
Mind you mapenzi hayachagui pia,but naturally everybody likes a stronger man financially, so utapima uchague
 
Kila Siku wanashinda kwenye nyumba za ibada, wakifunga na kuomba ili wapate wanaume wa kuwaoa.

Hilo ni jambo jema sana, maana sisi sote kimbilio letu ni MUNGU tu.
Pamoja na yote hayo, hebu jaribu kuwadodosa mawazo yao hao wanaomlilia Mungu ili awapate waume wa kuwaoa, utachoka na kuishiwa pozi kabisa,kila mmoja wao anawaza aolewe na mwanaume mwenyewe gari zuri, nyumba nzuri, kazi nzuri au biashara kubwa, wanamwomba Mungu halafu tena wanampangia na aina ya mume wanayetaka, hii ni sawa na mtu ana njaa, anakuomba chakula tena masharti na mkwara juu, kwamba ni kweli ana njaa, ila hataki ugali dagaa, anataka umpatie chakula chenye gharama Kubwa.
Na ndo maana Mungu hajibu maombi yao, miaka inaenda, rudi, hadi sura zao zinaanza kuchuma kunde, mwisho wanakata tamaa na kuwa ma senior spinsters.

Unadhani kuna mwanaume mjinga aliyetafuta pesa Kwa shida hadi akafanikiwa eti akuchukue tu wewe ule bata, Thubutuuuu... na kama akikuchukua basi ujue mpo wengi na si peke yako.
Wanapenda sana mteremko, hawajui maana ya ndoa, kwao ndoa ni starehe na kula bata, kila mara wanabaki kupeana moyo eti ipo Siku na wao watakuwa Kama flani aliyeolewa na tajiri flani, nyooooo... hilo zali huwa linatokea mara moja baada ya miaka 50.

Halafu wakiambiwa ukweli ni wakali Kama pilipili.
Bure ina tabu yake, jengeni tabia ya kuishi na wanaume toka wakiwa maskini hadi wanafanikiwa, Kwa maana ya kwamba mtafute wote mali, na siyo tabia yenu ya kudandia magari Kwa mbele, ndo maana yanawagonga na hamwishi kulia kila siku.

Kwa tabia zenu za kuwaza kuolewa na waliofanikiwa tayari mtasubiri sana, matokeo yake mnaanza kuchukia wanaume bila Sababu .
Waoaji wapo wengi sana ila tatizo nyie mnachagua sana, shauri yenu na muda si rafiki, yetu macho.
Daaa aiseee umewapa za uso nyingi anyway wakubakli wakate ila ndio ukweli huoo
 
It depends kama mwanamke unakua tegemezi kwake au la,Kama ni tegemezi lazima utumike utaenda wapi wakati ndo anakuweka mjiji,Kama humtegemei hatokuendesha coz with or without him unaweza jihudumia

Kujihudumia ni sawa ila love inakuwepo? Without love hakuna happyness
 
Katika kila mwanaume aliyefanikiwa tayari kuna mwanamke aliyevumilia nae nyuma yake...

Kwa hiyo wakiomba kuolewa na wanaume ambao tayari wana mafanikio basi wasi na wivu na wakubali ku changia...
 
Hapo ndo issue sasaa,love is complex yet easy sometimes
Nadhani ukijitegemea kiasi flani unamuonyesha the man upo nae kwa ajili yake sio kwa pesa yake tu,
Ukiwa ombaomba na full huduma siku hana we don't know tabia yako ipoje
All in all,mtu u shuld wish for a man na uonbe Mungu akupe anaeona unawezana nae,
But wadada wengi kujishughulisha hawataki na maisha ya juu wanayapenda
 
Huo msemo sio kweli,klyn kavumilia nini utajiri wa mengi kwa mfano
Kuwa na mwanaume aliefanikiwa ni BAHATI tu,haijalishi u mvumilivu au la,mrembo, mbaya,sijui elimu nk nk
 
Cheers !!!
 
Kwani Klyn ni mke wa kwanza wa Mengi... Ongelea mke wa kwanza wa Mengi, Klyn kakubali kuchangia... hata wakiwa wengi poa tu kwake..
 
Back
Top Bottom