Wanawake wa kibongo hasa wa uswahilini usiombe ukae nao nyumba moja

Wanawake wa kibongo hasa wa uswahilini usiombe ukae nao nyumba moja

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,468
Reaction score
7,733
Moja ya changamoto nillmezipitia ni kukaa na waswahili Nyumba za kupanga (Wanawake mbaya zaidi hawajasoma hawana Elimu .

Kwanza wachafu
Wambea
Wanawivu
Wana nguvu hasi

(Negative energy)

Kuhusu Wivu yaani wakikuona umenunua hata trey moja ya mayai inakuwa vita Kali Sana .

Ila finally nilijua ni umasikini tu na poor mentality

Hakika nilijifunza kwa njia ngumu Sana .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom