Siku ukileta usisahau kunipm pls, sikuhiz napita mara chache hukuMmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ilikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.
Muda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi
Teh teh teh L.......ce baby.
Very fine...nimepumzika tuu...nimelalaa,now naenda kufanya mazoezi tuu kumaintain my body weighty of 72kg na kwa Afya pia.Thanks
Waendeleaje rafiki
HongeraVery fine...nimepumzika tuu...nimelalaa,now naenda kufanya mazoezi tuu kumaintain my body weighty of 72kg na kwa Afya pia.
Ahsante sana natamani tungekuwa wote unanisindikiza mdogo mdogo nakufanyia mazoezi mepesi ya Viungo my Rafiki...Hongera
UsijaliAhsante sana natamani tungekuwa wote unanisindikiza mdogo mdogo nakufanyia mazoezi mepesi ya Viungo my Rafiki...
Ahahahaaaaaa embu niache mie, naona unataka kuusemea moyo wangu [emoji4][emoji4][emoji4]najua we unapenda WALAMBA LIPS
Mi sijasifia sura pitia comments zangu wanaume mahb nawaonaga km ke wenzangu tuHahaha..! Nyie wadada wapuuzi sana aliyewambia mwanaume anasifiwa sura na hips nani, kidume ni mashine na pesa kwisha habari.
Hujatulia kumbeeeHuwa nawachemsha kusikia povu linavyoruka 500kilometer.
Huyo HB najua kuna sura za kiume humu hadi rahaahahahah aisee !kidogo niseme unirushie 'kichwa' nikakumbuka nimeolewa na Beira Baby Boy
[emoji39] [emoji39] [emoji39]hahahaha km UYOGA VILE !ahahah i dont care aisee mrad unanijali hisia zangu !mbn mikono ipo?
Mpk ivimbe ndo alivyosema heheheiyauwiii ! kweli wanaume mmpeshana !aisee ! kama unamgonga na,na hyo demu wako jua anakaa na ww kwasababu fulan !sipendi mapenzi ya hvyo km mnagombana jaman !uwiii !pole sana
Nitakujulisha dia maana mmmhSiku ukileta usisahau kunipm pls, sikuhiz napita mara chache huku
Baby unaniongelea mmHuyo HB najua kuna sura za kiume humu hadi raha
Yeees najua wewe sio HB ni dume la mbegu dume mashineBaby unaniongelea mm
Basi sawa honeyYeees najua wewe sio HB ni dume la mbegu dume mashine