mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,160
- 22,622
Tamaa gani umeiona hapo? Tamaa ya nini?Kha!!! Makubwa haya, yaani mtu ajibu pm yako kwa uandishi wako huu ulojaa tamaa???? Woooiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka, tukawa tunamwambia jamaa atugaie anagomanajuta kukuchokoza, umemwaga mchele kweupee
Unakumbuka uzi uliotuunganisha?
(Jamaa aliyeokota 400k atm?)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanao sema hivyo, hawajui matumizi ya tamko hilo. Kiasili binti hupenda urembo na hio ndio sifa anuai kwayo inawatofautisha na sisi, sasa mtu unapo mpa sifa yake stahiki, anakuwa ana matatizo. Kuna mambo ya kawaida, yaani ada na desturi na jamii huwa inahukumu mambo.
Ni ngumu kuridhisha nafsi ya kila mtu, mda mwingine unafanya kile unachoona hakina madhara.
Ila mi mwanaume ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kabisa
Jamaa kwa hiyo unaquote post yangu afu unaitumia kumjibu Zurri ilhali mimi nilikua namjibu huyo huyo uliequote post yake afu ukaweka jibu langu.Elimu unayoitoa ni nzuri, sema humu ndani kuna midundo inabidi uendano nayo la sivyo utavuna mabua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani dear..na wewe uko njema, siwezi acha kukusifia. Many blessings to you!Duh!!!!
Sawa tusemeni tu
Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.
Nipate hata mmoja wa kupiga nae story tam tam namimi najua kupenda haswaaa!!
Halafu nikionaga tuu jina la dada ya jf kuna kaharufu kananijia puani inaonekana muwasafi na wazuri na mna ladha nzuri sana, nahitaji kampani yenu.
Nyie ndio kimbilio letu hapa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole dada wastarab tupoNilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tigo pesa dear.. ile ileeeUsiniblock mkuu.
Next time swali la kwanza kukuuliza litakuwa "bamba yako ya mpesa ni ile ile"??
Nishawah kutongoza mwanaume bila kujuaWengine wanaume hao kuwa makini,ID zisikudanganye..