Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanao sema hivyo, hawajui matumizi ya tamko hilo. Kiasili binti hupenda urembo na hio ndio sifa anuai kwayo inawatofautisha na sisi, sasa mtu unapo mpa sifa yake stahiki, anakuwa ana matatizo. Kuna mambo ya kawaida, yaani ada na desturi na jamii huwa inahukumu mambo.

Elimu unayoitoa ni nzuri, sema humu ndani kuna midundo inabidi uendano nayo la sivyo utavuna mabua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.

Nipate hata mmoja wa kupiga nae story tam tam namimi najua kupenda haswaaa!!

Halafu nikionaga tuu jina la dada ya jf kuna kaharufu kananijia puani inaonekana muwasafi na wazuri na mna ladha nzuri sana, nahitaji kampani yenu.

Nyie ndio kimbilio letu hapa JF

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole dada wastarab tupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom