kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,636
- 6,692
Nje ya mada, Jesse Pinkman na Mr White wameitendea haki ile movie. Nimeingalia kama mara mbili hivi, kuna scenario Jesse yuko hospitali baada ya kupigwa na Hank. Jesse alikua anavuta sigara eneo ambalo haliruhusiwi muuguzi mmoja akaja kumwambia hutakiwi kuvutia hapa,, ha ha hilo jibu la Pinkman ni balaa!!Mwanangu hela yote uliyopiga na Jesse Pinkman bado tu unanyamazia watu
Unaikumbuka hiyo sehemu?
Sent using Jamii Forums mobile app