Wanawake wa JF hawanitaki

Wanawake wa JF hawanitaki

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Mimi ni kijana mzuri kabisa jamani, japokuwa sijaweka picha ila siyo siri I'm handsome.Sasa niliweka tangazo katika jukwaa la MMU kuwa nataka kuoa.

Nikatarajia kuwaona kina Tinacute, miss chagga, neggirl masai dada, Heaven on Earth Apologize lady na wengine wengi wakija mbio pm kuigombea nafasi adimu ya kuolewa na milionea kijana,lakini wapi hadi sasa sijapata hata pm moja.

Jamani au kwa kuwa mmeshanizoea sana ndo mnaamini kuwa sitaki kuoa? Hebu jitokezeni warembo jamani,tena sina vigezo vyoyote ni bora tu uwe na akili timamu mengine yote yatafuata baadae.

Nawasilisha
 
tatizo nyota. sura hata mbuzi anayo lakini je una hela/pesa?
 
aisee kizazi hiki..eti kijana mzima unajisifia kuwa wewe ni handsome...aisee yaleyale ya akina richi mavoko kujichubua na kusema eti ameng'aa...sijui mna makamas kichwani?? ndo mana mitikiti maji imeongezeka mtaani....
 
aisee kizazi hiki..eti kijana mzima unajisifia kuwa wewe ni handsome...aisee yaleyale ya akina richi mavoko kujichubua na kusema eti ameng'aa...sijui mna makamas kichwani?? ndo mana mitikiti maji imeongezeka mtaani....ungekuwa ndo mwanangu nakubadilisha hata na kopo la mkaa nipikie
 
unakumbuka siku moja kwenye uzi sijui wa siasa uliniponda sana Ukasema nabisha sana HUTANIOA???
nikajiuliza huyu tajiri mtoto ajaoaKUMBE NA UZI ULIWEKA?????
watakuja subiri,usikate tamaa
 
Wiseboy, kabla sijaja pm hebu fanya kunipa miamala yako yote ya:
m-pesa, tigopesa, airtel money, ACC za benk n,k
Kisha nitakimbia kuja.
 
Nenda pm tuma hata vocha kama kianzio!!!!! maneno pesaaa
 
Hahaaahaa Man City waleee, wapuuzi waleee.... Wanacheza hovyo hvyo walee.... Wanawayawaya tuuu... Sijui wamekula maharage ya wap waleee... Wanalewalewa, wanakua kama watoto wadogo, waliovaa pampas.... Pelegrini mpuuzi yuleee... Nlikua namheshimu xana.... Lakini naye anawayawaya tuuu, anafanya vitu hovyo hovyo tuuu... Kama wachezaji wakee waleee.... Na mm nasemaaa, "Naakomeeeeeee kuja OLD TRAFFORD...."
 
wise_boy.

wa humu jf wajuaji sana...

kama uhamini ngoja, misschaga aje!
 
aisee kizazi hiki..eti kijana mzima unajisifia kuwa wewe ni handsome...aisee yaleyale ya akina richi mavoko kujichubua na kusema eti ameng'aa...sijui mna makamas kichwani?? ndo mana mitikiti maji imeongezeka mtaani....

Mmeanza kunitukana,nikiwajibu,ooh wiseboy mkorofi,haya endelea sasa...Nikikutukana na mimi usije kulia tu.
 
unakumbuka siku moja kwenye uzi sijui wa siasa uliniponda sana Ukasema nabisha sana HUTANIOA???
nikajiuliza huyu tajiri mtoto ajaoaKUMBE NA UZI ULIWEKA?????
watakuja subiri,usikate tamaa

Hehehee... Tena wewe ndo nakupenda sana hebu ukuje pm tuyamalize.
 
Kijana mke hatafutwi mitandaoni, ingia msikitini au kanisani utawapata tu...!
 
Back
Top Bottom