Wanawake wa JF hawanitaki

Wanawake wa JF hawanitaki

Tangazo likiwa na picha linanoga zaidi, weka face hapo tuthaminishe, maana nyie mnaojisifia ni shidaaa
 
Ukiona hivyo...ujue kuwa hao wrote uliowatarajia wanawaume zao
 
Hahaaahaa Man City waleee, wapuuzi waleee.... Wanacheza hovyo hvyo walee.... Wanawayawaya tuuu... Sijui wamekula maharage ya wap waleee... Wanalewalewa, wanakua kama watoto wadogo, waliovaa pampas.... Pelegrini mpuuzi yuleee... Nlikua namheshimu xana.... Lakini naye anawayawaya tuuu, anafanya vitu hovyo hovyo tuuu... Kama wachezaji wakee waleee.... Na mm nasemaaa, "Naakomeeeeeee kuja OLD TRAFFORD...."
Hahaha hawa man city nani kawarogaaaaa!!
 
Mbona mimi mwenyewe hawanitaki mbona sitangazi
 
heloooo handsome men heloooo JAY millions! dah hili janga tena mwanaume anasema eti yeye ni "mzuri"????
rudi uka edit uzi huu
1: y'r ID coz at 32? u a aman not a boy. ntarudi baadae.
 
Mbona unazidi kuharibu chalii yangu!!? usijisifie kuwa wewe ni mzuri wanaume hatutakiwi kabisa kusema hivyo hata ukiwa mwenyewe chooni eti "mimi ni mzuri" anyway, endelea kusubiri wenzako wanapiga kona na wanawahi kufunga sasa wewe endelea kuruka tikitaka huku umevaa taulo
 
Kama hata jf unakosa mke hasa mmu, kaoge maji taka mtaroni utoe gundu.
 
Back
Top Bottom