excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
Hivi unaweza kuwa wise halafu ukawa mchoyo??tehteh....uchoyo uko damuni....
watu wenye hekima ni watoaji wazuri...
But this... hm!
Hivi unaweza kuwa wise halafu ukawa mchoyo??tehteh....uchoyo uko damuni....
Nisamehe bana tuyamalize,usiponisamehe nitaanza kutembea na bastola nikikukuta na mwanaume popote pale naku ufosaro bila huruma hakyanani.
aisee kizazi hiki..eti kijana mzima unajisifia kuwa wewe ni handsome...aisee yaleyale ya akina richi mavoko kujichubua na kusema eti ameng'aa...sijui mna makamas kichwani?? ndo mana mitikiti maji imeongezeka mtaani....
kishasema ye ni milionea...bado unauliza hela anayo!! acha ulimbukeni
Ndo tatizo la kusoma topic na kurukia kujibu bila kuelewa,nimesema mimi ni milionea kijana.
We jamaa umebaka uzi soma kwanza kilichopo ndani!
Mdomo wako nooo, Maneno yako yatakuponza hayo.Wiseboy, kabla sijaja pm hebu fanya kunipa miamala yako yote ya:
m-pesa, tigopesa, airtel money, ACC za benk n,k
Kisha nitakimbia kuja.
Huko kwingine sina ishu nako.Hahaaahaa Man City waleee, wapuuzi waleee.... Wanacheza hovyo hvyo walee.... Wanawayawaya tuuu... Sijui wamekula maharage ya wap waleee... Wanalewalewa, wanakua kama watoto wadogo, waliovaa pampas.... Pelegrini mpuuzi yuleee... Nlikua namheshimu xana.... Lakini naye anawayawaya tuuu, anafanya vitu hovyo hovyo tuuu... Kama wachezaji wakee waleee.... Na mm nasemaaa, "Naakomeeeeeee kuja OLD TRAFFORD...."
Mwambie humu ni wale wa kupashia mwili tu.Kijana mke hatafutwi mitandaoni, ingia msikitini au kanisani utawapata tu...!
yeye akiwa milionea bakhresa atakuwa nani? na nani aliyekuambia kuwa umilionea ndiyo suluhisho la kila jambo? mbona umemjibia au wewe ndiyo mamsapu wake? muwe mnaweka picha zenu halisi ktk avatar tuone nyago zenu zilizochoka na acheni kutuwekea picha za watu wengine na wenye dalili za kuweka picha za watu wengine mara nyingi huwa ni mashoga au nawe ni 1 wapo?
Mkuu acha kutoboa siri zako.
Aisaee wewe humbakishi mtu !! you made me laaaaugh!aisee kizazi hiki..eti kijana mzima unajisifia kuwa wewe ni handsome...aisee yaleyale ya akina richi mavoko kujichubua na kusema eti ameng'aa...sijui mna makamas kichwani?? ndo mana mitikiti maji imeongezeka mtaani....ungekuwa ndo mwanangu nakubadilisha hata na kopo la mkaa nipikie