Wanawake wa JF badilikeni!

Status
Not open for further replies.
KUMBE WADADA WA JF WANAKAA DAR! MIE NSHATAPELIWA NA S.... J..... WA MORO.:tape:
 

Kaka we kaa kando maana akija Sista hapa wallahi tafuta infusion set kabisa maana hatoniacha salama!!!!!

Ni wanajenga picha kichwani wanapaka rangi wanavalisha nguo na.maneno ya sweetie,honey,utavaa nini , perfume gani!!!??? Ukija utakula nini na.kunywa nini yaani anajenga tukio kabisa!!!!!

Kukipambazuka sasa! !!!!! Waliomo na tusiokuwamo wote tunahadithiwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekugusa wapi bi mkubwa hadi watoa cheko kubwa kama mbaazi zipasukazo juani, au naw wataka nami nikuandikie sredi

Bora yangu mie ushungi sitoi kuchwaniii
Eeee nianzishee nimwage yote yako hapaa kama hawajakukimbiaa humu ndanii
 

Mama yangu na watu hawakomii kukutana na watu humu nahis mliyasikia mengi siku hiyo aisee nilipitwaa ningekufa kwa kuchejaaa
 
mbaya kwako kwa wenzio mzuri eeeh! beauty is in the eye of the beholder...
 
utakutana vip na mtu ambaye humjui

hata sura! wengine tutakuja kukutana na mizombi?"
 
Siku nyingine uwe unaanzia What's up kwa kutumiana picha nk

Siku sizi mambo yamerahisishwa sana. Kwa kutumia What's up ingeepusha kuingia gharama ya muda wako na pesa ulizopoteza kumuona huyo binti.

By the way: Next time ujifunze, maana humu JF totoz nyingi inaonyesha ni vituko na ndio maana wamefanya jukwaa la MMU kama comfort zone yao. So, be warned.
 
ana bahati angekutana na mimi angekoma aisee kukutana na mtoto sura ngumu tena sura haijua hat kutabasamu loh angejuta kuni PM

mmh!!!! sura ngumu uwe wewe?, pamoja na kwamba umesema humu ndani 99% ni fake. Lakini sio wewe!!!!!!!!!!! nimezikumbuka siku zile unagombewa ka mpira wa kona, hivi JJB ye hakuwemo?..na ulivyolikamata jukwaa hadi ilikuwa raha kila mtu lazima akutaje/akuite kasoro mimi tu nilipona, mimi tu sikuleta habari, ila sasa najuliza miss chaga huyu mbona kapunguziwa kasi, au baba ako Utafiti kasema utulie kidogo?..ila kweli huyu ndugu hakupaswa kumtusi huyu member mwenzetu hata kama hakukidhi matarajio na matamanio yake,ni tabia mbaya kwakweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…