wanawake wa dar walikuwaga ngangari.

Sio watumwa kweli hao? very sad.
 
Wewe una akili kweli?
Unawaona mama zetu wamefungwa minyororo na watu wa kuj halafu unawaita wahalifu?
Tena nchini kwetu?
Kweli mna ukoko wa kununuliwa kiakili!
mkuu wakati wa ukoloni kulikuwa na sheria, mfano kodi ya kichwa au uzururaji. waliozivunja walikuwa wahalifu nawalifanyishwa kazi za lazima. hiyo minyororo ni kuzuia wasikimbie. sheria kandamizi hadi leo zipo. wakoloni siyo waovu sana na serikali za weusi hazina wema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…