Wanawake wa Dar, Ameniacha na maswali mengi sana huyu mwanamke...

Ha ha ha, alichoniacha hoi, kaachiwa contact seat ya nyuma, maana yake hajapigiwa, ila yeye kapiga simu kwa yule mama.

Sasa iweje alalamike wkt ndiye aliyepiga? Wanamme wa dar buana, ni nuksi tu
ngoja akarukishwe kichura chura apate akili
 
Yaani mi najiamini kupita kiasi na sehemu kama hizo naenda niko safi,mfukoni,mkononi,na ulinzi juu
 
Mbona hapo wewe ndio ulie anzisha story? kama kweli hukua na haja nae unge chana number au ungetupa,halafu haya mambo unayo sema ni ya kike mwanamme kweli unasema yalotolea njiani hata 24hrs bado wala hujui anakuitia nini?
haya bora salama ila sio sawa.
Jaribu kufikiri kabla, ngoja nisikujibu vibaya
 
Habari wana jf.

Leo asubuhi saa 3 ,nilikuwa njiani natoka kazini narudi home.Nakaa maeneo ya ukonga,kufika tazara nyuma kidogo ya jeti, mama mmoja hivi mwenye hadhi akanisimamisha, huwa sina kawaida ya kuendesha kwa speed kubwa sana.

Kwa haraka haraka baada ya kusimama yule mama alikuwa anampeleka bhana wake airport.akaniambia kaka samahani naomba msaada gari yangu inavuja mafuta kwenye injini (kweli ilikuwa inavuja wese) ,nikamuuliza msaada gani ulitaka,akaniambia nampeleka mume wangu airport ,nikamwambia sawa wekeni mabegi niwape msaada.

Nilifanya kama msaada ,mama yule akashukuru kweli,akaniachia contact kwenye siti la nyuma.

Nikajiuliza kwa nini ameniachia hii namba? Na mpaka mda huu nimeongea naye yule mama ameniambia mume wake anafanya kazi kwenye ubalozi moja hivi nchi ya wenzetu.Nikamwambia ni vizuri.

Sasa mda huu ndani ya saa moja hivi amenitumia meseji kuwa nashukuru sana daktari kwa msaada wako,tunaweza kuonana jioni?

Mpaka sasa nashindwa kumjibu huyu mama.
Najiuliza ni nini tena anataka kwangu,na angejua mi siyo mtu wa kupenda sketi,maana lazima nijiulize sasa haya maswali.

Nitaenda kumuona ila akiniletea habari za kijinga kama mapenzi nitamcharaza makofi za kutosha maana mimi sipendi ujinga hata kidogo.

Na nitaleta mrejesho humu.
Alikuachia number kwenye seat ; hujasema kama ulimpatia number yako; kama sijakosea wewe ndio ulianza kumpigia baada ya kuachana ...mbona ulimtafuta ulitegemea akuambie nini labda?
 
Kikubwa ni kuwa makini, maana najielewa kama mwanaume
we ni daktari wa mifugo ,mimea au binadamu??? sasa unajiuliza nini hapo,nenda ukashukuriwe. ila kumbuka ni wangapi wamemsaidia na anawapa shukurani,TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Habari wana jf.

Leo asubuhi saa 3 ,nilikuwa njiani natoka kazini narudi home.Nakaa maeneo ya ukonga,kufika tazara nyuma kidogo ya jeti, mama mmoja hivi mwenye hadhi akanisimamisha, huwa sina kawaida ya kuendesha kwa speed kubwa sana.

Kwa haraka haraka baada ya kusimama yule mama alikuwa anampeleka bhana wake airport.akaniambia kaka samahani naomba msaada gari yangu inavuja mafuta kwenye injini (kweli ilikuwa inavuja wese) ,nikamuuliza msaada gani ulitaka,akaniambia nampeleka mume wangu airport ,nikamwambia sawa wekeni mabegi niwape msaada.

Nilifanya kama msaada ,mama yule akashukuru kweli,akaniachia contact kwenye siti la nyuma.

Nikajiuliza kwa nini ameniachia hii namba? Na mpaka mda huu nimeongea naye yule mama ameniambia mume wake anafanya kazi kwenye ubalozi moja hivi nchi ya wenzetu.Nikamwambia ni vizuri.

Sasa mda huu ndani ya saa moja hivi amenitumia meseji kuwa nashukuru sana daktari kwa msaada wako,tunaweza kuonana jioni?

Mpaka sasa nashindwa kumjibu huyu mama.
Najiuliza ni nini tena anataka kwangu,na angejua mi siyo mtu wa kupenda sketi,maana lazima nijiulize sasa haya maswali.

Nitaenda kumuona ila akiniletea habari za kijinga kama mapenzi nitamcharaza makofi za kutosha maana mimi sipendi ujinga hata kidogo.

Na nitaleta mrejesho humu.
Mpe huduma mama afurahi..Kama anazingua ni PM namba zake.
 
Back
Top Bottom