simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,799
- 9,736
Kila zama na vitabu vyake. One step ahead kumi backwards.Now days JF sio sehemu unaweza ukatoa hoja ikajadiliwa na kupata madini kama zamani. Mada zinaletwa kuongelea ukabila udini. Hakuna tena tunachoweza kujifunza.
What goes around always comes around.
Kule ni empty setKwamtogole
CapricornHivi tuliozaliwa mwezi mmoja na Yesu mwezi wa 12 tuna nyota gani jamani?
Nimekutana na Capricorn.Wanawake wa Capricorn kwanza ni watafutaji. Hata waolewe na Bill Gate au yule founder wa Amazon hawarudhiki na hela ya kupewa.
Sifa ya pili ya wanawake wa Capricorn ni wapole, wakipenda wanapenda mazima. Hawezi kuwa kwenye mahusiano akawa na John au Juma pembeni.
Tatizo ni kuwa ukiwaudhi au take them for granted, hawatoi second chance. Wakimaliza wamemaliza.
[emoji2] [emoji2]Ilibidi niangalie vizuri ID isije kuwa Asprin
Viuno vya nini wakati kimoja tu chaliFull set hazijui kukata viuno
Hakunipa second chance! Simlaumu.Alikuwaje?
Mi tarehe 30 /12 ni hiyo hiyo capricon ama?Capricorn
Date range: December 22 - January 19
Hahahah dah nimecheka sana akikujibu nitag mkuu.Na wanaume wa equator wakoje?
ndiyo hiyo hiyo,capricon.Mi tarehe 30 /12 ni hiyo hiyo capricon ama?
Sawandiyo hiyo hiyo,capricon.