Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Waarabu koko au wale wa uarabuni
Wana sura nzuri, mionekano ya kitajiri hata akija na ist binti haruki.
Sisi wenye sura za kuaga miili hata tukiendesha cruiser Bado Kuna kaugumu.
Bora ningekuwa mwarabuMikuyati mweupe inamvuto buana,
halafu watu tunatafuta upekee yaani ukoo mzima vipilipili unaonaje wewe ukileta mtoto mwenye nywele za kisinga
Mikuyati mweupe inamvuto buana,
halafu watu tunatafuta upekee yaani ukoo mzima vipilipili unaonaje wewe ukileta mtoto mwenye nywele za kisinga
Tafuta pesa mzee baba....
Waarabu wanasukuma mbolea
Mfano kama waarabu makoroo wa zanzibar, wahuni kishenzi walee... utasikia yakhee twala na nyumaa
Wanaita tuziii yaheee tuzi tamm y dada nimeeka kdg kwny kibiriti yahee niwe nnusa nnusaMfano kama waarabu makoroo wa zanzibar, wahuni kishenzi walee... utasikia yakhee twala na nyumaa