wanawake viumbe katili sana !!!

wanawake viumbe katili sana !!!

by default

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
839
Reaction score
215
Jana jumapili nimeamini mwanamke ni kiumbe hatari ktk karine ihi ya digital,nilitoka kucheki game ya asernal vs man u mida ya 8:00pm nikawa narejea home njia ya kuelekea home kuna msururu wa pub kama 4 wateja wanaokuja na magari uwa wanapaki pembezoni mwa barabara ya mtaa unaoelekea home.
Nilikuta gari Gx100 imezuia barabara na mlango ukiwa wazi nikawa nimeshuka ili nimtafute dereva asogeze gari niweze kupita kuelekea nyumbani,ghafla nikasikia sauti ya mwanamke ikiita mwiziiii mwiziiii nisahidieni jamani.ndipo nikaelekea ilipokuwa inatokea sauti nikakuta group la watu wasiozidi hamsini wakiamulia ugomvi wa wanandoa.mwanaume[mme mtu] alim-bamba mkewake akiwa na jizee kwenye moja ya pub wakipata vilaji wakiwa sawia zero distance na kumuuliza mkewe vipi muda uhu unafanya nini hapa akadai tupo kwenye meeting ya kioffice,jamaa mbona mnashikana yule mzee ikabidi nayeye ajitetee ...wewe ni mwanaume mwenzangu sikiliza bwana huyu mwanamke aliniambia yeye ni single lady, kwakweli akuwai niambia kama anandoa....
Mwanamke ikabidi achomoke nduki akapande kwenye gari awezetokomea anapojua yeye,ndipo mumewe akamuwa akachomoa ufunguo mwanamke akaanza kupiga kelele za mwiziiii mwiziii akiwa anakimbilia barabara kuu.kilichomuokoa mwanaume alikuwa anasema kwa sauti huyu ni mkewangu jamani msimsikilize,vijana tukawa wapole tukamshawishi jamaa ampe kichapo kwa kosa la kuitwa mwizi kama sio ustaarabu wa vijana wapale mtaani jamaa angechezea kichapo.jamaa alimpa makofi matatu yaliyomuweka sawa dada ndipo dada kwa upole akasema usinizalilishe twende nyumbani tukaongee.wakaelekea kwenye gari dada akakaa kushoto jamaa akafungua mlango wa dreva akatushukuru kwa umoja tuliompa na akataja jina..... Ni mke wangu nampenda sana ihi gari nimemnunulia nyumba nimempa pesa ninampa sijui kwanini amenisaliti..yule mzee alitelekeza gari ikabidi tumtafute alionekana upande aliokimbilia ni sehemu ambayo barabara aitoki tukaelekea kumsaka vijana walikuwa wanataka wamtoe mshiko tukakuta ametelekeza gari kweny uzio wa michongoma.kazi ikawa kumsaka amekimbilia wapi kumbe alikuwa amejificha kwenye bustan ya mauwa na alionekana baada ya simu yake kuita kwa woga alijitokeza mikono ikiwa juuuu kama ishara ya kujisalimisha hakika alikuwa ni jibaba lenye kitambi limetota jasho kwa hofu KWELI KUFUMANI NI HATARI . MUKE YA MTU NI SUMU MZEE ALISHATELEKEZA PRADO nA KAMA INGEKUWA TEMEKE WANGELAMBA HADI TAIRI .vijana waliambulia elfu30 ilishatimia saa tatu na nusu usiku 9:30,,,,kwa mwendo uhu kuowa majanga
 
nyooo mfumaniwe nyie tu kila siku safi sana ngoma drooo hii ndo karne ya 21 kama mwanaume imenikutach kanywe serengeti ukajipumulie huko
 
na kwa kumalizia siyo kuoa tu na kuolewa pia ni majanga
inshort unatakiwa ucheze karata zako vizuri
 
Mmmh! Wanaume bwana! Yan gari, pesa na nyumba ndo kaona vina prove mapenzi ya kweli!! Penda unapopendwa
 
Mmmh! Wanaume bwana! Yan gari, pesa na nyumba ndo kaona vina prove mapenzi ya kweli!! Penda unapopendwa

akili yako inaonekana inaishia kwenye nguo yako ya ndani wewe mbona unatia aibu sana unataka nini zaidi kama mpenzi wako hakuridhishi kwa hiyo kumsaliti utakuwa umefanya jambo jema? au unaongeza matatizo bila kusahahu ukimwi
 
Hii K hii, jamaa kaitwa mwizi na bado kaipeleka home...mwenye prado nae anajilaumu! ewe K wewe tuepushie majanga haya
 
Heheheiya safi xana huu mwaka wao kuwaliza wamezid kumnyanyasa mwanamke hongereni wanawake mnaoumiza mioyo ya mijanaume aliyevimba apasukeee
nyooo mfumaniwe nyie tu kila siku safi sana ngoma drooo hii ndo karne ya 21 kama mwanaume imenikutach kanywe serengeti ukajipumulie huko
 
Koma bila hyo k wala usingekuwepo duniani shika adabu mtoto wa kiume
Hii K hii, jamaa kaitwa mwizi na bado kaipeleka home...mwenye prado nae anajilaumu! ewe K wewe tuepushie majanga haya
 
wee gegeda sepa...wanawake chombo cha starebe sio life partners.
 
Du kwa ponapona hiyo palepale mzee wa watu alitakiwa atoe tamko zito sana,lkn ya Mungu mengi huwezijua kwa nini hilo lilitokea ni fundisho hata kwako mleta mada
 
duh nimecheka sana jamani, ila mbona hata wanaume wengi husema wako single kumbe wana hadi wajukuu. nimependa sana huu mkasa hapo kwenye mwiziiiiiiiiiiii lol..........
 
Huyo naye mmmh! kafuata pesa na si kingine ndo maana anaendelea kuwa mama huruma
 
eti makofi matatu
si dharau hiii
mi nilijua anamtia kilema na taraka juu
 
Back
Top Bottom