Maskini wanapenda ngono na kuwaza ngono sisi matajiri tunaangalia mwanamke mwenye classic zake,mwanamke kioo cha jamii sio wakupiga picha fb kajibinuabinua matako kama kichaa....kitu cha kwanza kabisa cha kuangalia kwenye muonekanao wa mwanamke sitaki shape kubwa...nataka vitu simple shape simple,mavazi simple,nywele simple unless kuna tukio mhm...yaani vitu vya kueleweka