Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
6,116
Reaction score
6,827
INASEMEKANA:

Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima huku Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.

Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.

Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2, Bilioni 1 tayari wamekwishaoa, Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili na hivyo Wanabaki wanaume bilioni 1 tu

Milioni 500 hawana kazi, Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja, Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.

Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa, Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.

Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hata kuoa ni bahat. Wanaume wasingekua wanatafuta wake mpaka humu
Kubali au kataa mwanaume ata akisema wiki ijayo ntaoa, mrad amedhamiria anaoa kweli... Lakini mwanamke kuolewa sio maamuzi yako mwenyewe na huwez lazimisha kuolewa! Kwanza mwanamke akifika 30 tayari amechakaa,

Wanawake wako wengi ukiona mwanaume anatafuta humu ujue anataka kugegeda tu!
 
Back
Top Bottom