Kaongooo...Kila mtu na bahati yake ..wangu me nilitegesha na ngoma ikaclick now tuna watoto wawili na ndoa yenye amani n furaha.
Sasa ndugu zangu wale wenye damu za kunguni chukueni tahadhari hawa kina Shabani siku hizi hawaeleweki
We nini lakini 🤣🤣🤣🤣Kaongooo...
Umezaa lini sasa naweweWe nini lakini 🤣🤣🤣🤣
Tena mkuu, mwingine anaweza akataka yeye mwenyewe kabisa ila sasa ipate uone mziki wake. Utajuta kwa nini uliibeba.Inaumiza sana hii hali, mimba ya nyumbani atake mwanaume utaona dunia ipo kiganjani mwako ila ukuturupuke kwa kigezo cha ndoa utajutraaaaa.
Wadada tuwe makini tusikurupuke jamani.
Sawa huwezi kumlaumu sbb amekaa muda mrefu na mpenzi hana muda wa kumuoa na anazid tu kumkula. Ni bora mtu uchague njia nyingine lkn sio hiyo ya kubeba mimba. Wakati mwngne huwa ni mbaya sana mkuu, mtu unajitafutia tu matatizo zaid ya pale.Huwa najaribu kujiweka kwenye viatu vya mdada ambae ana hamu ya kuolewa, mpenzi wake hana dalili ya kumuoa amekazana tu kumkula sipati picha kabisa...kwa anayefanya hivyo siwezi kumlaumu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha mkuu uliogopa kuoa kimasihara?. Je ungeenda uwanjani alafu baadae akaja kukwmbia ana mimba nako ungefanyaje?Dah! Kuna mmoja nilimtokea tukaelewana vizuri kabisa ila hata kabla ya tarehe ya mechi yetu wana Uvinza FC, akanambia habari za kunizalia mtoto!!!!!
Nikaona hapa kuna kitu kinaitwa "kuoa kimasihara" au kubambikiziwa mimba!. Nikawa namzuga tu wala sikutokea uwanjani kabisa.
Mpaka alipohamishwa kikazi nikapumzika na kelele zake. Dah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yani, bora sasa umkute yule Baharia mstaarabu ataikubali na atailea vzr tu , tena hadi ndoa mwaweza funga. Ila sasa kutana na mabaharia hawa wa siku hizi, mbona utajutaa.Bora uwaambie sidhan kama watakuolewa
Wanatupa adhabu vijana wa watu so Innocent and humble
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha mkuu hilo la bikra feki, waulize wanaowekaga ivyo huwa wanatakaga nini.Bikra feki za kutengenezwa kupitia ndimu na body plastic sugery ni nzuri au mnajisahaulishaga mlichoongea tu na shetani bustanini kuhusu kujifanya kondoo nnje ya miili lakini ndani ya miili yenu ni mmbwa mwitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu unayempenda utamvumilia,sasa huyu dada alimpenda jamaa au alitaka aolewe tu??Ahahah apo ss ni bahati sn. Unaweza tegesha na ukaolewa vzr tu na ndoa ikawa na amani. Ila kuna mtu nimemshuhudia kategesha na kaolewa, lkn huwezi amini mwanaume hataki kufanya chochote kile. Kakaa tu nymbn, lkn mwanamke ndy ss amekuwa baba na amekuwa mama. Fikiria ss tabu anayoipata apo ni ya kiasi gani.
Sema tunatumia sana hisia kufanya maamuzi mwisho tunaumia.Ni kweli usemacho
Hapana mwanaume akidhamiria kabisa kwamba anataka mtoto na wewe hawezi leta mauzauza. Lazima atakutunza na utafurahia dunia siyo wakatili kama ukijibebesha mwenyewe.Tena mkuu, mwingine anaweza akataka yeye mwenyewe kabisa ila sasa ipate uone mziki wake. Utajuta kwa nini uliibeba.
Kuna mada zingine zinatokana na watu kutokufuata kile ambacho wanafundishwa katika dini zao.Mko mnafanya uzinzi ,kisha jamaa anakuambia anataka mtoto,na wewe unakubali.Hushituki kama jamaa anatumia gia kubwa kujihakikishia kila mwezi mko mnatafuta mtoto?Biblia iko wazi,watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.Vipindi vingine redioni ni maarufu,stori zinahuzunisha na kutia huruma ukifuatilia chanzo ni kutokutii Mungu ameagiza nini.
Nimesikia Tanga kuna tamasha linakuja,mtangazaji anatangaza kabisa bila kujua kama kuna watoto wanaisikiliza hiyo redio "ukiniona niombe kondom za fie...." Mtangazaji anamtangaza mwezake eti kila akitembea na binti mpya yeye hutumia kondom za vinundu.Hiyo ni redio inatangaza.Hapa ndipo tumefika wanadamu
Utachuma ulichopanda.Maisha unayoishi leo ni matokeo ya yale uliyotenda siku za nyuma,kuwa makini na unachokitenda leo,matunda yake yanakuja.
Hapana mwanaume akidhamiria kabisa kwamba anataka mtoto na wewe hawezi leta mauzauza. Lazima atakutunza na utafurahia dunia siyo wakatili kama ukijibebesha mwenyewe.
Ndy hivyo washauri madogo waache hii tabia haina faida.Ndiyo, tunatumia mioyo hii kuliko akili.