Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
Stori yako ni nzuri sana,sasa ikawaje baada ya kuchagua kuuliwa maana naona upo?Au ulibadili uamuzi?
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
hivi bro bila kuachia marinda unaweza kupona kifo mbele ya braza jambalika.......Self-entanglement...; it is very difficult to defy the obvious logic here:msela:
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Jamani kuziba kwa njia ya mkojo tatizo si hako kaSodoma ila ni magonjwa mbalimbali km kaswende, gono, pangusa haya yote yanaacha vidonda ndani ya kuta lainiza ndani ya uume km kuna ushahidi ni uchafu wa chakula ndio unaopenya na kuziba ni Imani na madaktari watatusaidia km watapitia hapa.Nimewahi kusikia wamama wanaongea ofisini kuwa mmoja wa waasisi wa taifa hili (marehemu) alikuwa anatembea na mwanamume mwenzie kwa muda mrefu na imekuwa ni sababu ya kifo chake kwani mirija iliziba. Wakaka hata kama mnaombwa (kama mnavyodai) kataeni kwani ina madhara kwa wote wawili. Na mimi wife ntajajua tu pale utakapoanza kulalamika sijuhi nini imeziba wakati mimi siruhusu ako ka mchezo
:hand: MMMMMHmmmmmmmmmmmmmmmmmmh tutaamije sa mbona hukuuliwa au walimaliza tu............
Huu mchezo ni mbaya mno nishaufanya mara moja .Haufai niliugulia siku tatu . Najutaga sana sitakaa nirudie tena Mungu na wanajamvi wote mnisamehe. Kama kuna mtu humu jamvin anaweza kunipa maushauri ntashukuru sana. Valentine njema.
hiyo ID yako tu,
inaniambia kuwa haka ndo kamchezo kako siku zote!!!!
Nachelea kusema kama umeshaacha huu mchezo!!!!!!!!