Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Natamani member wengine wanisaidie kwenye hili!!.......Mimi naona hii ni njia ya kisasa zaidi ya uuzaji wa papuchi na siku hizi wadada wengi mnatumia hii njia!Siuz ningeuza ungeondoka nayo... Minatoa na ela...
Unasema tu labda ujue sio celebrit, Daimond akija na mlegezo, chupi yko hailoi?Itategemea na mtu anayening'ang'ania yuko je na wakati huo nikoje. .....
Sina jibu la moja kwa moja hasa kwa mie ambae sijaolewa ila.........
Kama ni mume wa mtu na simchekei chekei hata kidogo. Uso wa mbuzi na kibuti juu.
Kama ni mkaka anayejielewa naweza ishia kuwa best friend ake tuu na tukawa kampani ya disco na mazoezi (mara nyingi mtu anayening'ang'ania atakuwa tayari kufanya hobbies zako hata kama yeye hazipendi hadi hapo atakako atakapo kata tamaa) hivyo hapo hata visafari vyangu atanisindikiza ila mzigo nooop hapati atakuwa anabeba pochi zangu tuu. Ni tabia mbaya ila mie huwa nawatumia (using them) sana ving'ang'anizi and life goes on. Akisepa sawaa tuu coz hayupo moyoni mwangu.
So huwa simkubalii awe mpenzi ila anakuwa best friend.
Kuna wale wavaa milegezo na kuweka bling bling shingoni na masikioni na mkanda wa suruali una bacon kubwaa ya fuvu la mtu au nge. ..... aiseee hawa hata salamu siitikii.
Niko very keen na muonekano.
Ukiona hivyo unapiga na kusepa, yeye ndo ataanza kukusumbua na wewe unaanza kumpiga chenga hadi akome.Hyo ni kutokana na kwamba.. Mwanamke ukimtongoza kama hakupendi na akiwa na mtu wake atakuzingua sana lakn inapofika kwamba Yule akiyekuwa anamtegemea akimpiga chini ndio utakuta anaanza kujisogeza kwako ambaye alikuwa anakukataa
Siwez kutoapapuchu kwa mtu ambaye simpendiUtampendaje mtu (mwanaume) kwa dhati kwa kupigwa sound kwa siku moja tu au hat week moja na papuchi unatoa?
uking'ang'aniwa sana huwa mindset inachange juu ya muhusika.....kumbuka bnadam ni dynamic huwa anabadilika so ni rahisi kujikuta unampenda mtu ambaye mwanzo hukua ukimpendaHapana,huyo alikuwa unampenda ndo maana akamkubali,mm siwezi kukubali kuwa ukigandwa sana unaamua kukubali,lkn hatuwezi jua moyo wa MTU,mwngine anaamin kuwa akin'gan'ganiwa sanaa ndo anapendwa basi anakubali,kiukweli,ktk hilo ni wawili hao ndo wanaujua ukwel ktk kukubaliana kwao ilikuaje.
Njoo PMSiwez kutoapapuchu kwa mtu ambaye simpendi
Unasema tu labda ujue sio celebrit, Daimond akija na mlegezo, chupi yko hailoi?
Hao wanaume mabwege aisee..Hawapati chochote sio mzigo wa denda. Ila huwa nawafariji na holding hands na hugs.... basi.
Hao wanaume mabwege aisee..
Ni pmNjoo PM
Teh teh..Hayo makea ya shuruti mi siyawezi..Hata kama mwanamke mtata vipi..Bora nichape lapa kuliko kugeuzwa katuniHahahaha usiombe kukutana na mwanamke mtata kama Kasie aiseeh. Watakaoona kuwa ni bwege ni wenzako ila wewe utajiona unafanya makea hehehehehe.
Teh teh..Hayo makea ya shuruti mi siyawezi..Hata kama mwanamke mtata vipi..Bora nichape lapa kuliko kugeuzwa katuni
[emoji1] [emoji1] hakuna uhusiano wowote si demu alitaka kunichingua kama ana VVU na mimi nikamtupia neno la kumchingua tu.Mkuu kwani tetanus na VVU vina uhusiano gani?
HahahaaaHyo ni kutokana na kwamba.. Mwanamke ukimtongoza kama hakupendi na akiwa na mtu wake atakuzingua sana lakn inapofika kwamba Yule akiyekuwa anamtegemea akimpiga chini ndio utakuta anaanza kujisogeza kwako ambaye alikuwa anakukataa
Huu mwandiko ni kama naujua hivi.Amna kitu km hicho,na km ikitokea bas ujipange kuliwa pesa yako,huwa siamini km mapenz ya kuradhimishana yanadumu