nomaBasi ipo haja humu wanaume tuwe tunaandika kwa kukoleza (bold) kama ninavyofanya mimi ili ionekane kama tuna sauti nzito. Lengo ni kutambuana.
π€£π€£noma
Ipo siku utajua pia hii ID ni ya Kiislamu, mke wa nne!πDuh leo ndio najua hii I'd ni kiumeπ
Hahahaha sawa jombaIpo siku utajua pia hii ID ni ya Kiislamu, mke wa nne!π
Hii ID ni kama kimiminika.
Nina sauti nzito ndiyo maana huwa nakoleza maandishi.Muone
Jinsi mnavyobishana . πUnaangalia nini
Ina haja. We huoni nikionge tu mara Moja, wote kimya!Wala haina haja π€£π€£
Ndo maana yake πUnapenda ee?
Braza una uhakika mke wako ni mwanamke?Aiseeee...... mwanamke wangu ni mwendo wa mpera mpera !
Akiomba kitu kama sina ni sina yani .... hakuna maelezo na ataelewa ......
Mama mzuri kwa familia..... hilo najivunia....hata nikisafiri najua home pako salama na mishe zetu zinasonga kwa usimizi wake !
Namshukuru Mungu kwa hilo
Mapampula ndio kina nani ?ππππΉπΉπΉ Sio kwa hawa mapampula wa bongo..!!
Nwei, hadithi yako inapatikana mwanzo ngapi? πΉ