Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

Hbr wana MMU ?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata Dada zangu na ndugu wa Karibu.

Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Kwa maneno mengine unasema ' mwanaume asiyekuthamini kwa sasa ni mumeo tu'
 
Hbr wana MMU ?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Kweli mkuu. Waelemishe hao wajitambue.
 
Mimi unanionea tu bure,heri yangu mimi ambae nakuambia waziwazi kuwa naitaka hiyo papuchi yako iliyonona na yenye kilo tano kuliko siku hiyo utakapokutana na shetani alievaa ngozi ya kondoo huku akikudanganya kuwa hana haja na papuchi yako hadi ndoa halafu mnafunga ndoa fresh then anakuvua halafu anaanza kuwaza wale ambao hawajamvulia!!......Kwa taarifa yako huwezi kukwepa mitego ya wanaume!!
bora huyo kuliko wewe
 
Mmmmh haya mambo hayana formula aisee, hata walio olewa wakisha vuliwa nguo na kuzalishwa wanaume wao wanachepuka, Ila wanabaki na ile heshima ya kua "wameolewa"....but haifanyi wanaume wabadilike.
Bora uvuliwe nguo na mumeo hata kama atachepuka lkn wewe umetunza heshima yako, kuliko kutembea chu.pi mkononi mbele ya wanaume shost
 
Hbr wana MMU ?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata Dada zangu na ndugu wa Karibu.

Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
si itakuja izibe kabisa
 
Back
Top Bottom