Sijaamnaisha hivyo, ndio maana nikasema mwishoni kwamba olewa na mtu amabe umeridhika nae kwa kila kitu ikiwemo mali mana kuna wanawake wanapenda wanaume wenye uwezo.Kwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Binadamu siyo nguzo.Sijaamnaisha hivyo, ndio maana nikasema mwishoni kwamba olewa na mtu amabe umeridhika nae kwa kila kitu ikiwemo mali mana kuna wanawake wanapenda wanaume wenye uwezo.
Kwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Mkuu kwa nn umekuwa na uamzi huoKwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
....Wasiocheat Mungu awabariki.
Kwani nikiondoka kwa baba yao watoto wanakufa?Hiyo ni selfishness ya hali ya juu kutoka kwa decent woman.
Sasa ukishikwa au kupata mimba ya nje ndoa ikawa sio ndoa,hapo unaumiza WATOTO wako wewe mwenyewe!
Ni heri uache kuokoa WATOTO wako.Usifikirie sana kujiridhisha wewe,kumbuka una watoto!
Na ukiachika utakuja kugundua kua wanaume ni walewale hamna mwenye tofauti na mwingine.You are just chasing the ghosts!
Kumbuka mwanaume na mwanamke ni tofauti,usije jifanya unashindana na mwanaume au mwanamke,ndoa ikifa consequences kwa mwanamke ni kubwa mnoo psychologically.Kwa watoto ni hatari zaidi!
Chagua kusuka au kunyoa mama!
Nimeamua tu.Mkuu kwa nn umekuwa na uamzi huo
Nitakupa company mkuuNimeamua tu.
Ya wewe kucheat au kucheat na mimi?Nitakupa company mkuu
Kwani nikiondoka kwa baba yao watoto wanakufa?
Ya wewe kucheat au kucheat na mimi?
Kama ya wewe kucheat haya
Ila kama ya wewe na mimi hapana,
Huwa napiga one night stand
Ni kawaida tu hawatakuwa wa kwanza wala wa piliAisee!
Yaani hujui effect ya baba na mama kukaa mbali mbali kama familia na watoto wao?
Yaani hujui hilo mpaka makamo haya uliyofikia?
Unajua maana ya Broken Home?
Unajua matatizo yote dunia hii ya moral decay yanatokana na Broken Homes?
Aisee tuliza ubongo,usiingie kwenye ndoa kwanza,cheza weee ufurahi then ukishapata akili vizuri ndio uingie.
Otherwise moto utauona vizuri sana mkuu!
Unataka two what for?One night stands?
Hiyo sio cheating?Tena kwa mwanamke?Aisee ni hatari sana!
Nimependa sana mawazo yako Hornet ,ni very challenging hasa kwa jamii yetu hii iliyoathirika na maisha ya kuigiza zaidiNi kawaida tu hawatakuwa wa kwanza wala wa pili
Kwani mzazi mmoja akifa wanakuwaje?
Binafsi sijinyimi raha ya dunia kwa ajili ya mtu.
Moto nilishauona toka nimezaliwa na kwa sasa ni muendelezo tu
Wala sijali saana.
Mtu akiamua kuondoka aende tu akiamua kubaki abakie.
I live once no need to pretend