Wanawake tueleweni wanaume japo kidogo

Wanawake tueleweni wanaume japo kidogo

Kwani huwa tunaelewa basi? Tukiambiwa ukweli twaona twadanganywa, tukiambiwa wongo twaamini ndo kweli alubati
Kwa anavyolalamika jamaa inaonyesha hana cha kupoteza kwa hiyo angemueleza ukweli mwenzake, huyo mwenzake angechagua kusuka au kunyoa.huenda kwa kuwa nae huyo mwanamke kungeleta baraka ya kupata " uwanja na gari".

Sio kila mwanamke analeta hasara, la msingi ni kujaribu kuwa na mwanzo mzuri wa kuanzisha harakati za mapenzi.
 
Kuna mlinzi wa kampuni ya ulinzi Gardaworld ana miaka 2 kazini tayari ana kiwanja mjini na pikipiki. Wewe mwaka wa 10 ajira sekta gani hiyo?!
Acha kutufanya sisi watoto wadogo wewe ,garda mshahara wao Ni 250,000 ....

Hata kama huyo mlinzi anatunza 100,000 kila mwezi na kutumia 150,000 Kwa miaka miwili atakuwa na 2 million ...

Sasa hicho kiwanja na pikipiki 2 katoa wapi ???

Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mimi mwenyewe Nashangaa. Ila Kuna uwezekano alikopa bank
 
Acha kutufanya sisi watoto wadogo wewe ,garda mshahara wao Ni 250,000 ....

Hata kama huyo mlinzi anatunza 100,000 kila mwezi na kutumia 150,000 Kwa miaka miwili atakuwa na 2 million ...

Sasa hicho kiwanja na pikipiki 2 katoa wapi ???

Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe [emoji848][emoji848][emoji848]
Viwanja huko mvuti,chanikah,dondwe vipo laki2,3,4
Pikipiki labda Fekon kanunua kwa mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom