Wanawake tueleweni wanaume japo kidogo

Wanawake tueleweni wanaume japo kidogo

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,866
Reaction score
6,885
Umejitongozesha kwangu kipindi cha Xmas 🎄, unataka nikutumie nauli utoke kwenu Dar uje Dodoma. Mwanamke mwenyewe tumekutana mtandaoni, huu ni ufala.

Nauli sijakutumia, nikakudanganya nafanya maarifa uje tusherehekee mwaka mpya pamoja, nauli sijatuma.

Ukweli ni kwamba mshahara haunitoshi, maisha ya hapa JamiiForums tunaigiza sana. Mimi ni bahili hadi sitaki kuoa. Nioe kwa kipato kipi? Mwaka wa kumi niko kwenye ajira, sina gari wala uwanja.

Dada usijisumbue sana, mimi hali yangu ya kifedha ni tofauti na muonekano wangu wa nje. Unadhifu huficha mengi!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui nacheka nini hata, ungempa ukweli tu ili uwe huru nayeye awe huru kuendelea kuangaza angaza macho
 
Nikiwa kijana nakua nilikuwa naamini kwamba ukiwa na nyumba ukamiliki na gari unakuwa umeendelea sana (umeyapatia maisha). Utu uzima nimekuja kujua kumbe sio kweli.

Kwenye maisha yako siku zote pambana uwezavyo lakini hakikisha moyo na nafsi yako umejaa furaha na amani tele. Hayo ndio maendeleo ya kwanza kabisa katika hatua yyt ile kwenye maendeleo ya binadamu
 
Michael Jackson alikuwa na pesa ,mali na kila kitu ,.....lakin katika maisha yake yote hakuwahi kuwa na amani ya Moyo kabisa ,pamoja na pesa zake ....

Aliishia kuishi Kwa kujificha kutokana na umbo lake kutolipenda ,...

Alifanya kazi usiku na mchana ,huku akiamin furaha yake itakuwa baada ya kupata pesa lakin haikuwa hivyo ....

Kweli ,maendeleo ya mwanadamu ni kuwa na furaha tu na amani ya Moyo ,mengine yote ni kujilisha upepo ...
 
Umejitongozesha kwangu kipindi cha Xmas [emoji319], unataka nikutumie nauli utoke kwenu Dar uje Dodoma. Mwanamke mwenyewe tumekutana mtandaoni, huu ni ufala.

Nauli sijakutumia, nikakudanganya nafanya maarifa uje tusherehekee mwaka mpya pamoja, nauli sijatuma.

Ukweli ni kwamba mshahara haunitoshi, maisha ya hapa JamiiForums tunaigiza sana. Mimi ni bahili hadi sitaki kuoa. Nioe kwa kipato kipi? Mwaka wa kumi niko kwenye ajira, sina gari wala uwanja.

Dada usijisumbue sana, mimi hali yangu ya kifedha ni tofauti na muonekano wangu wa nje. Unadhifu huficha mengi
Sasa ubahiri wako unakusaidia nini huku huna unachomiliki?
 
Nikiwa kijana nakua nilikuwa naamini kwamba ukiwa na nyumba ukamiliki na gari unakuwa umeendelea sana (umeyapatia maisha). Utu uzima nimekuja kujua kumbe sio kweli.

Kwenye maisha yako siku zote pambana uwezavyo lakini hakikisha moyo na nafsi yako umejaa furaha na amani tele. Hayo ndio maendeleo ya kwanza kabisa katika hatua yyt ile kwenye maendeleo ya binadamu
Wakati moyo na nafsi vina amani na furaha hakikisha pia una kanyumba kako na kagari ka kukutoa sehemu moja kwenda nyingine ingawa si lazima sana.

Unaweza ukawa na amani na furaha baba mwenye nyumba akakutibua...akakuharibia siku.

Halikadhalika unaweza ukawa nyumba na kila kitu mkeo akachukua amani na furaha yako pia.

Nachotaka kusema wakati unapambania amani na furaha baadhi ya vitu jitahidi pia uwe navyo kama Mungu amebariki uwe navyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom