Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Hahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...


Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kukopa si kukopa tu anaficha nini
 
Hivi wanaume mbona kila kitu mnasema tunajilinganisha na nyie? Kwahiyo mnataka wake zenu wasifanye makosa ila nyie mfanye makosa si ndiyo? Naona ndo kujitofautisha mnakotaka huko
Mie huyo wakuongelea chumbani yaani asinioe kabisa maana hatutaelewana kabisa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] juzi kati wangu kafuta namba zote zenye majina ya kike kwenye simu yangu eti kisa kakuta nimeongea na Magreth wakati Magreth ni dada yangu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa najiuliza huyu nikimuoa itakuwaje, naana ana wivu wa kijinga.
 
Mbona kama hizo kanuni umetunga wewe?
Embu niwekee hizo kanuni na sehem ulipozitoa.
Sijatunga mimi ila nikuulize swali kwahiyo wewe kwako unaona ndoa bora ni ile ambayo mwanaume anafanya makosa kila siku ila mwanamke hafanyi makosa hata siku moja si ndiyo?
 
Swali je huyo Magreth ni dada yako kweli? Jibu unalijua moyoni mwako
 
[emoji115] [emoji115] Huyo ndo mwanamke aliyepikika akaiva[emoji122] [emoji122]
SIO MWANAUME UNAENDA KUANGALIA MECHI SAA 4 USIKU UEFA UNASKIA "BABA NJELEKELA TUNAENDA WOTE LAZIMA".
Mpira wenyewe wala siuelewi, nitamwambia achukue funguo asisumbue watu wakati anarudi.
 
Ww mwanamke unaakili naomba naomba yako nikutafute
 

Mhhh... kila mtu ana mjua mtu wake... kama kuna kitu kibayaa lazima unafeel... sa usifatilie kisa unaogopa stress!! For me bora nifatilie nikute hakuna ubaya... lakin sikai kama zuzu kwa sababu ya kuogopa stress...


We just have to know how to pick our battles. Ila sio kuachoa ujinga eti bora aseme atachelewa... kila siku anakwambia ‘’ atachelewa” kilasiku anarudi saa nane usiku eti anatafuta ada!!! Anafanya mikutano na majini????
 
Ni kweli kila mtu anamjua mtu wake. Mfano dada yangu siku moja alisahau kuweka simu kwenye chager. Asubuhi anataka kwenda kazini ndiyo anashtuka battery imekufa kabisa. Mume wake akamuambia kuliko uchelewe chukua simu yangu ili uwe na mawasiliano angalau na mimi nita charge simu yako.

Ananiambia lunch time kuna binti alipiga simu ya mume wake. Aliipokea akamwambia samahani leo mimi nina tumia simu yake, piga saa mbili usiku nitakuwa nimeshairudisha kwa mwenyewe. Yule binti alitaka kumpa ujumbe, dada alimwambia hapana ni bora ujumbe umpe mwenyewe mimi ninaweza sahau mengine. Tafadhali pigs saa mbili.

Kufika nyumbani aliikabidhi simu ya watu na akamueleza kuwa kuna atakaekupigia saa mbili.
 
That's what we do!!

Ndio mana hata Asprin anavyoweka wazi ule mchepuko wake wa kudumu hata mshipa wa tako haukuchezi sababu unajua you are the chosen one
Utachezaje mshipa wa tako wakat ulishawapa wadau wa chimbo waukaze 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…