Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Wewe hata ukimfuata mpaka chooni bado ni wife matiriyo tu. HahahaahhahaEeeh afadhali; maana nilijua mimi tu ndo nimebaki kwenye kundi la non-wife material. Eti akapokelee simu wapi? Aaaaaah weeeeeeeeeee
Hahahaha tuachane na hizo habariOhhh!! That was tough, wasn't it??
Sio peke yako mpenzi hahahaha la kuipokea simu mbali na mimi hizo ni dharauuuu kama mimi mwandani wake ananificha niniEeeh afadhali; maana nilijua mimi tu ndo nimebaki kwenye kundi la non-wife material. Eti akapokelee simu wapi? Aaaaaah weeeeeeeeeee
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama callerβs name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu wangu!
Aibu nimeona mimi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Haya si ndio yale matusi ya reja reja??
Kanuni ya kuishi na mume akikuudhi mwambie lakini usimnunieKweli kabisa Dada Sky, ila je unamaanisha kuwa tunyamaze tu just because mimi ni mke wa ndoa? Hata kama unajua kabisa huyu ni mchepuko wake? Na je madhara ya kunyamazia na kujifanya kobe, ni yepi?
Una akili sana bidada.Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama callerβs name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Uvumilivu huo wengine hatuna maana akirudi huko mafichoni kesi yake haina muamuzi.Sio peke yako mpenzi hahahaha la kuipokea simu mbali na mimi hizo ni dharauuuu kama mimi mwandani wake ananificha nini
πππππππππHahahaha tuachane na hizo habari
Mambo ya kiofisi, hujui wengine ni TISS hata wake zao hawatakiwi wajue kama wao ni TISSSio peke yako mpenzi hahahaha la kuipokea simu mbali na mimi hizo ni dharauuuu kama mimi mwandani wake ananificha nini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatari sana, tungefika kule ujue
Hahahaha kwa kweli.Subiri tuzeeke tutakuelewa.
Aaah hata kama bwana weMambo ya kiofisi, hujui wengine ni TISS hata wake zao hawatakiwi wajue kama wao ni TISS
Yaani tunatukanwa hivi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nimeamini wewe upo aged and well maturedKanuni ya kuishi na mume akikuudhi mwambie lakini usimnunie
What about serial cheaters? Unaitaka ndoa, unampenda sana na ushamwambia hupendi baadhi ya vitu ila wala hana mpango wa kubadilika? Nasema hivyo because nilikaa kwenye ndoa 8 years sijawahi hata siku moja kufungua simu ya mume wangu, wala hajawahi hata kunipa simu nipige picha hata za matukio ya kawaida... but here I am, no husband ππ. Of course his LOSS! but my point ishuwa najiambia kama ningekuwa namkagua ama namfanyia vurugu kidogo labda angeogopa, or maybe ningejua mapema wapinzani wangu! Nimekuja kushtuka wameshazaa watoto wawili uhawara uliokubuhu ndio wanakumbuka kuoana.πKanuni ya kuishi na mume akikuudhi mwambie lakini usimnunie
Yaani tunatukanwa hivi hivi
Hivyo Dada na wewe ukipigiwa simu ukatoka kwenda kuzungumzia chumbani ni sawa pia, Au Privacy hii ipo kwao pekee?Binadamu anatakiwa kuwa na privacy yake, asiye na privacy ni mnyama. Si unamuona mbwa, unajua ame pooh wapi, ame do saa ngapi...