Wanawake Sometimes

Hahahahahah we jamaa mpe tu huyo si ndio bebi!
 
Wanawake mmzidi kila SAA tafadhali niongeee,naomba elfu 20 baby,chupi ximeisha baby,mwanamke gani huwez kujinunulia hata chupi kwenda zako na njaa zako,demu mwenye vinjanja pita mbali na mm.unataka hela nenda nmb,crdb,nk.mnaboa sana mamaee xenu.
 
IKITAKA UEPUKANE NA KERO ZA MAPENZI OA KAKA,,,,POLE MI HATA ALIYEKUWA BABE WANGU ALIKUWA ANANIPA TAKRIMA NA MIM NIKIENDA KWAKE NAMPELEKEA ZAWADI KAMA SHATI AU TISHETI N.K..
 
Hilo ndo swali la mleta mada! Umeolewa/umeoa au hukuolewa/hujaoa, kubadili penzi (mahaba) kuwa ATM ni kuidhihaki nafsi ya ubinadamu na kujishusha utu
Wambie ukweli mkuu, kuna wengine wameingia humu jukwaani, ni wakali balaa wanaona ni haki yao kudai pesa kwa penzi ambalo wote tunafaidi!
 
IKITAKA UEPUKANE NA KERO ZA MAPENZI OA KAKA,,,,POLE MI HATA ALIYEKUWA BABE WANGU ALIKUWA ANANIPA TAKRIMA NA MIM NIKIENDA KWAKE NAMPELEKEA ZAWADI KAMA SHATI AU TISHETI N.K..

IKITAKA UEPUKANE NA KERO ZA MAPENZI OA KAKA,,,,POLE MI HATA ALIYEKUWA BABE WANGU ALIKUWA ANANIPA TAKRIMA NA MIM NIKIENDA KWAKE NAMPELEKEA ZAWADI KAMA SHATI AU TISHETI N.K..
Hayo ndio mapenzi ya kweli mkuu, sio mapenzi kama ya akina fulani ambao wameingia humu jukwaani ni wakali balaa
 
Wanawake mmzidi kila SAA tafadhali niongeee,naomba elfu 20 baby,chupi ximeisha baby,mwanamke gani huwez kujinunulia hata chupi kwenda zako na njaa zako,demu mwenye vinjanja pita mbali na mm.unataka hela nenda nmb,crdb,nk.mnaboa sana mamaee xenu.
Ha ha ha ha ha!
 
Mpaka unipende manake nina matunzo asa kwa nini nikupe halafu usinitunze?
 
Papuchi ni resource kama resource nyingine tu.

Ukiitumia lazima ulipie, na mwenye nayo lazima afaidike pindi inapotumiwa.
 
Kumbe ni business, bac waseme tu kwamba hiki kiungo kinauzwa, ikiwezekana na matangazo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…