Ila uchumba wa muda mrefu huwa si mzuri Sana na haushauriwi atleast labda Kama Bado mpo mnasoma au mmoja wenu anasoma lakini tayari mmeshaingia katika Maisha ya utafutaji na kujitegemea mwaka miaka miwili mkijiweka Sawa mnaoana.Sorry hivi Mkuu huwa linatumika pande zote kwa nwanaume na mwanamke