Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Najua limeanza muda mrefu, lakini ni tofauti na enzi ya mababu zetu walikuwa na mapenzi ya kweli,Ulivoandika ni kama hili jambo la wanawake kuwafanya wanaume ATM limeanza mwaka huu
analilia dhambiNAWEKA CAPS KWA MSISITIZO,KAMA HUWEZI KUTOA HELA KAA PEMBENI AU KAFANYE NA WASIOTAKA PESA MAANA HATUWASHIKII PANGA ILI MTOE...MXIEEEWWW PUMBAVU KABISA MNALIA LIA KAMA VILE UKIKOSA **** UNAKOSA KWENDA MBINGUNI ALAAA MXIEEEWWWW.
Sawa katafute mbibi wa "enzi za mababu" ue nae maana ndo hawaombi hela kama unavyodaiNajua limeanza muda mrefu, lakini ni tofauti na enzi ya mababu zetu walikuwa na mapenzi ya kweli,
Ha ha ha, usiwe mkali nimekugusa?NAWEKA CAPS KWA MSISITIZO,KAMA HUWEZI KUTOA HELA KAA PEMBENI AU KAFANYE NA WASIOTAKA PESA MAANA HATUWASHIKII PANGA ILI MTOE...MXIEEEWWW PUMBAVU KABISA MNALIA LIA KAMA VILE UKIKOSA **** UNAKOSA KWENDA MBINGUNI ALAAA MXIEEEWWWW.
mmezidi kulalamika utafikiri huwa tunawashikia panga, halafu nyie ndo mnaongoza kwa nyeg* na tamaa,lazima mlipie alaaa..huwezi kaa benchiHa ha ha, usiwe mkali nimekugusa?
haha tuache siasa buana ina stress twende kwenye uchawi sasa😉Tuachane na mapenz tuangalie siasa ina less stress
Ha ha ha, ndio maana nimesema muwe mnasema kwamba, sawa nimekubali mahusiana, ila suala la papuchi utakuwa unatoa fedhammezidi kulalamika utafikiri huwa tunawashikia panga, halafu nyie ndo mnaongoza kwa nyeg* na tamaa,lazima mlipie alaaa..huwezi kaa benchi
Kuna wengine wapo wasioendekeza fedha, wenye mapenzi ya kweli na sio kama akina nyie. Na musiporidhishwa, mnakuwa wa kwanza kuja kulalamika hapa jukwaani. Pesa mupewe na kufikishwa kileleleni mwahitaji. Ndio maana wanaume wanapiga na kusepa na kuwaacheni mnagalagala kunako 6 x 6 kwa sababu ya kuendekeza fedhahivi kuna mwanamke wa bure bure tu huyo labda umuumbe mwenywe
haha tuache siasa buana ina stress twende kwenye uchawi sasa😉
Kweli mkuu na wataishia kuchafuliwa tu!Endelea kutafuna hiyo ya kukodi wakati unatafuta bint mstaarabu wa kuoa ambae anakupa kwa upendo na si kwa cash.
Unajua wanawake wengi hawaolewi tokana na vijitabia uchwara wanavyokua navyo.Kweli mkuu na wataishia kuchafuliwa tu!
Wana msemo wao,hapendwi mtu inapendwa pochi tutafute pesa.hivi kuna mwanamke wa bure bure tu huyo labda umuumbe mwenywe
Kwani hao wanaowapaga kwa upendo mnawaoaga ??? Mwisho wa siku unamwachia shombo tutu.Endelea kutafuna hiyo ya kukodi wakati unatafuta bint mstaarabu wa kuoa ambae anakupa kwa upendo na si kwa cash.
Acha ujinga ww tutawagonga na pesa hatuwapi mamaeeNAWEKA CAPS KWA MSISITIZO,KAMA HUWEZI KUTOA HELA KAA PEMBENI AU KAFANYE NA WASIOTAKA PESA MAANA HATUWASHIKII PANGA ILI MTOE...MXIEEEWWW PUMBAVU KABISA MNALIA LIA KAMA VILE UKIKOSA **** UNAKOSA KWENDA MBINGUNI ALAAA MXIEEEWWWW.
Hao hao ila sio mimiAcha ujinga ww tutawagonga na pesa hatuwapi mamaee