kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
kwanini huoi?Wanajamii
Naombeni kuuliza, hivi mnapokuwa katika mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume lengo linakuwa ni nini hasa? Na kama lengo ni kushare katika mapenzi (kugegedana) na kila mmoja huwa anafaidi mautamukutokana na tendo hilo (kutoana stress)
Sasa linakuja swali moja hapa kwa nini wanawake wanageuza mapenzi kuwa pesa, utakuta anamuomba mpenzi wako pesa kana kwamba kutokana na lile tendo unadai malipo, basi ieleweke tu kwamba mnapokuwa katika uhusiano, mwanamke umweleze mpenzi wako kwamba sawa tunakuwa katika mahusiano ila papuchi nitakuwa nakuuzia, kwa sababu imegeuka kuwa kero, musitufanye ATM, munakera! kwana raha ya tendo tunaona sisi wenyewe?
Ndoa ni hatua mkuu, inabidi mujuane kwanza na ikiwezekana katika mahusiano mkae hata miaka 5 ili muweze kujuana vizuri,kwanini huoi?
mjuane nini?Ndoa ni hatua mkuu, inabidi mujuane kwanza na ikiwezekana katika mahusiano mkae hata miaka 5 ili muweze kujuana vizuri,
Ah, wanachosha mkuu. Mizinga kibao!Ngoja waje,muda huu wanadai wapo sehemu za kujitafutia et
Si tabia ya kila mmojamjuane nini?
Ni kweli mkuu, maana mpaka inakua kero.Ndo mana mimi nipo na majidada yenye kazi zao hakuna kuombana hela vizawadi Tu vya kunogesha penz na mipango ya kimaisha
Ha ha ha ha!kwa sababu na nyie mnasemaga mmetugonga na si tumegongana
Mkuu, ndo mtu akufanye ATM?Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
Kama umeona mapenzi michosho achana nayo,fanya mengine.
Raha ya penzi ni kupeana na si mmoja kukufanya benkiHa ha ha ha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa sababu na nyie mnasemaga mmetugonga na si tumegongana
Ha ha ha, tatizo sio kuniuma. Je, ni halali mpenzi wako mkipeana penzi kimwili, baada ya kumaliza anakuomba pesa.Kama vihela vyako vinakuuma ukiombwa, kaa pembeni!