Wanawake Sometimes

Wanawake Sometimes

kwetumasoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
866
Reaction score
517
Wanajamii

Naombeni kuuliza, hivi mnapokuwa katika mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume lengo linakuwa ni nini hasa? Na kama lengo ni kushare katika mapenzi (kugegedana) na kila mmoja huwa anafaidi mautamukutokana na tendo hilo (kutoana stress)

Sasa linakuja swali moja hapa kwa nini wanawake wanageuza mapenzi kuwa pesa, utakuta anamuomba mpenzi wako pesa kana kwamba kutokana na lile tendo unadai malipo, basi ieleweke tu kwamba mnapokuwa katika uhusiano, mwanamke umweleze mpenzi wako kwamba sawa tunakuwa katika mahusiano ila papuchi nitakuwa nakuuzia, kwa sababu imegeuka kuwa kero, musitufanye ATM, munakera! kwana raha ya tendo tunaona sisi wenyewe?
 
Ngoja waje,muda huu wanadai wapo sehemu za kujitafutia et
 
kwanini huoi?
 
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
Kama umeona mapenzi michosho achana nayo,fanya mengine.
 
Ulivoandika ni kama hili jambo la wanawake kuwafanya wanaume ATM limeanza mwaka huu
 
Kama unaona umechoka kutoa hela achana nayo mapenzi tafuta kitu kingine ufanye.
 
Back
Top Bottom