wanawake siyo.

jamani mzabzab kwahiyo hilo la pili lingempa faida gani

hilo la pili lingempa leverage....demu akileta ungese kama huo unaweza sambaza data kuwa umemtigorize hahaha sasa yeye sii analeta mambo ya kudhalilishana basi nawe ni important uwe na kitu cha kumdhalilisha....mapenzi ni power struggle bibie...anayebwagwa ni loser...always will be that way!!!
 
HAHAHAAAAAAAAA! Sizitaki hizi mbichi! Maneno ya mkosaji nayo! Yannipaga raha kweli kweli! Kama HUNA THE VIGEZOS AND MASHARTIS! Kojoa Ulale eeeh mtoto mzuri! Hili Goma waachie waliobarikiwa na Bwana kila IDARA!!!!!!!!!!! Upo hapo!

hivi kumbe wewe ni pepo kuu kubarikiwa na Bwana ni kuwa pesa? Big lyana ibilisi wewe.
 
Hahahaaaaaaaa! Kuwapata sio ishu mkuuu! Nishawapat kibaooo, na bado nawapata! Versy easy! Tatizo lao wana Big Ego! Kudumu nao ndo ishu kweli kweli!!!!! Hapo maombi yanahitajika haswaaaaaaa!!!!!

endelea kuwapata na wanakutumia vilivyo kukakeki na tigo naje umeshawapa wangapi?maana kwako ni dau tu,nb: wanawake hua mna vpind kuna kpnd ktafka hakuna anaekutaka tena nawe utahtaj mume hata unaowazarau hawatakuhtaj ww lyana ibilisi.
 


jamani ameokoka?? halafu anaishi bila ndoa halali???wakati mwingine tunajitakia haya yote,ebu mwambie amuoe kihalali/
 
endelea kuwapata na wanakutumia vilivyo kukakeki na tigo naje umeshawapa wangapi?maana kwako ni dau tu,nb: wanawake hua mna vpind kuna kpnd ktafka hakuna anaekutaka tena nawe utahtaj mume hata unaowazarau hawatakuhtaj ww lyana ibilisi.

NAKUHESHIMU SANAAAAAAAAAAAA! Jiangalie!!!!!

Nimekuheshimu nimekuja kuchangia thread yako then UNANITUKANA?????? KAMA NITACHANGIA CHOCHOTE UTACHOANZISHA MAISHAAAA YAKO!!!!!!
 
Kila nikikusoma kiongozi naona ni kama wewe vile " samahani lakini "
 
NAKUHESHIMU SANAAAAAAAAAAAA! Jiangalie!!!!!
Nimekuheshimu nimekuja kuchangia thread yako then UNANITUKANA?????? KAMA NITACHANGIA CHOCHOTE UTACHOANZISHA MAISHAAAA YAKO!!!!!!
Usisuse mama, halafu kanijibu swali langu kule kwenye white party
 
Mkuu ,kwanza nimpe pole jamaa yako kwa kupata kimeo ,huyo demu anaweza kumsababishia matatizo mengi si mwanamke wa kuoa kama angekuwa wa kuoa angeonekana mapema kuna wanawake katika jamii ni wazuri lakini sio wife material wapo wapo tu mitaani wanatumiwa na kuacha inawezekana akawa ni miongoni mwao, hapo jamaa apendwi ila kinachopendwa ni ela na maduu wa namna hiyo huwa hawadumu kwenye mahusiano , inaonesha dhahili kwamba atakama jamaa atapata pesa leo kesho akikosa huyo duu atamdharau tu,mshauri jamaa amuepuke sana na aachane nae atafute mwanamke mwingine amwache huyo mwanamke dunga embe asiye na shukrani.
 
ume generalise sana ki ukweli,kuhusu wanawake,na kama umeona hawafai hamna haja ya kushauriwa
 
achana na huyu mwanamke always women are devil, cheki walimuua Samson,walimsaliti Adam.

Ungeandika hii thread ni maalum kwa wanaume tu uone kama tungejisumbua kuchangia. Huwezi kuwatia ubaya wanawake wote duniani kwa kosa la huyo mwanamke mmoja! Kuna wanaume wangapi wanawafanyia wanawake makubwa kuliko alilofanyiwa jamaa yako na bado hatu generelise? Kwanza hii story ya upande mmoja anayoyafanya huyo jamaa yako hujayasema:A S angry:
 
Na mama yako ni miongoni mwa wanawake wasio na akili? Kama rafiki yako ana mawazo kama yako basi huyo bint ana sababu ya kufanya alilofanya. Kichwa chako hakiko sawa kajifunze adabu kwanza.
 
pole yake ni bora atafute geto lake yeye kama yeye achane naye kama anampenda atamtafuta lkn kama ni mzinguaji atamjua 2
 



1.kosa la mwanamke mmoja lisikufanye utukane wanawake wote
2.mwambie jamaa asepe uyo hafai ..mwanamke anayeendeshwa kwa fikra za kipato ni mchungu zaidi ya shubiri....yaani ukiwa na pesa na ukatimiza nids zake bas atakuheshimu na kukuona we mwanaume ..ikitokea umeishiwa basi wewe ni mxenge...haaaaaaaaaaa apanauyo sio

3.jamaamlokole gan anaishi kimada na mtu?
 
hapo kwenye red! mlokole gani aliyeokaka alafu anafanya uzinzi!labda MUNGU anataka kuwatenganisha jamaa aache zinaa
 
NAKUHESHIMU SANAAAAAAAAAAAA! Jiangalie!!!!!

Nimekuheshimu nimekuja kuchangia thread yako then UNANITUKANA?????? KAMA NITACHANGIA CHOCHOTE UTACHOANZISHA MAISHAAAA YAKO!!!!!!
msamehe bureeee! hajui alifanyalo huyoooo!
 
Mwambie mshikaji asimind ndo Dunia hiyo abebe kilicho chake akatafute mwingine wa kumsomesha maana yaelekea ndo anachokiweza. Utakuta ana ndugu kadhaa ambao walikuwa hawapati msaada wake hata kidogo wakati anahangaika na huyo dm sasa ndo mavuno hayo!
 

hence proved,wanawake siyo.
 
achana na huyu mwanamke always women are devil, cheki walimuua Samson,walimsaliti Adam.

Even your mother is the devil. Acha kugeneralize wewe!:angry:

Read this short story
· Mume na mkewe waligombana wakiwa safarini ndani ya gari lao. Ugomvi ulipozidi mume akapandwa na hasira akasema,"Wanawake wote ni punda tu!! Mke akanyamaza. ... Wakati wakiendelea na safari wakaona punda anatembea kando kando ya bara bara. Mke akasema,"Mama yako yule anatembea...Simama tumpe lift."
 
tafuta kwanza mkwanja achana na mapenzi kwanza atakuheshimu ukiwa na mahela yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…