wanawake siyo.

Kwel nimejua humu jf kuna mafunzo sana,unajua me nilijua strong bond zilikua zinaandaliwa chuoni ofcourse frm now expriences, kumbe kuna tatizo yan mwalim mtu ambae kipto ni sawa na hamna kitu jas mchele tu inakua ugomvi duhh si bado sana aisee
 

kwanza jamaa wako ni nanga sana....wewe kwani ni jukumu lako kumlea demu? unamuhudumia mke sio demu.
pili wakati anahudumia kwa nini akumla tigo?
tatu akubali amebugi....sasa akubali demu ndio kambwaga
 
kama ni hvyo kila mtu atakudungua aisee halafu galz hamkawii kuchuja
 
Duh, kumbe ana ujauzito mkuu?! basi, labda ana hasira za mimba!! si unajua wanawake wakiwa pregnant wanasumbua?!

eeh wa miezi 3, hapana mkuu huyu mwanamke hana nidhamu huwa anamtukana jamaa matusi hata kabla ya mimba,jamaa hli ndo limemuuma sana la kumwambia eti asguse menu alonunua demu wakati walmalza chuo wakawa wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu jamaa alihangaika sana kuhakiksha huyo mwanamke halali na njaa wakawa wanalala hawajui kesho watakula nini? Demu zake zlikuwa kula kulala halpi hata kodi leo hii ndo hvyo tena. Bt jamaa anasema only God know.
 
we lara 1 unaniudhigi hapa tu, sasa huyo complete package alizaliwa na hizo packages si amezitafuta kwa jasho na njia zake bana, haya ukampata huyo complete package akafilisiwa au akaishiwa u knw shit happens, what would u do, definitely utafanya kama huyo sis ulompondea, achana na hiyo mambo kigoli.

Utamkataa asiye na kitu ukapata complete package likatokea la kutokea akafulia, ulomtosa kisha hustle katoka, ndo huko kutamani matapishi na kuwa heartless. STOOOOOOP
 
kwanza jamaa wako ni nanga sana....wewe kwani ni jukumu lako kumlea demu? unamuhudumia mke sio demu.
pili wakati anahudumia kwa nini akumla tigo?
tatu akubali amebugi....sasa akubali demu ndio kambwaga

jamani mzabzab kwahiyo hilo la pili lingempa faida gani
 
::
Mwambie upole wake sio silaha dhaifu itampa jibu maana uzito wa upendo wake anaujua mhusika.
::
Binadamu ndio tulivyo ni wepesi wa kusahau tulikotoka na tunadanganywa na tulipo..asonge mbele love but love in vain is vanity
=
 
Pesa si msingi wa mapenzi. Mwambie jamaa afungashe kila kilicho chake aondoke. Asonge mbele asirudi nyuma. Uamuzi mgumu lakini wenye manufaa mbele kwake. Huyo mwanamke hampendi. Alikuwa anataka tu mtu wa kumsomesha. Sasa kapata kazi anajiona kafika.

Mwenda tezi na omo hurejea ngamani.

Pia, mpanda ngazi hushuka.
 
jamani mzabzab kwahiyo hilo la pili lingempa faida gani

achana nae huyo mujinga tigo ndo suluhisho? Wanawake wa sku hz kuliwa tgo ni kawaida tu utamla tgo na bado atakuzngua.
 
Hizo ndo akili za wanawake!! hawafikirii mbali, alafu wanataka haki sawa?! kwa akili hizi za akina Lara1 si watauza nchi
 
Mademu wa vyuo wengi ni wa mpito
 
Hizo ndo akili za wanawake!! hawafikirii mbali, alafu wanataka haki sawa?! kwa akili hizi za akina Lara1 si watauza nchi

dah kweli wa kwetu,bt jamaa kasema lazma achape makubazi kesho.atafkia kwa kaka ake zen aanze jpanga upya.
 
kwani aliyeokoka hana hisia

anazo ila neno linasema hivi 'tujue namna ya kuiweza miili yetu' kwahiyo ilitegemewa yeye aliyejaa Neno awe mfano kwa kuuweza mwili wake tena linasema hivi 'ikimbieni zinaa' si hivyo tu linaongeza 'mssiyaamshe mapenzi mpaka yatakapoona vyema yenyewe'
 
ndo maanami huwa nauchukia sana umaskini,sana tu,unajua lazima ukiri kitu fulani hukipendi na ufanye juhudi kukiepuka....anyway Jamaaa Mungu amemuonyesha mapema,asonge mbele haikuwa bahati yake huyo...
 
Mwanamke "RAFIKI YAKE NI HELA",Kuwa na kipato kizuri ili ikusaidie pia kulinda heshima na maisha mbele...unafikiri vitu vizuri hawavioni?hawavitamani,halafu yeye ndo analeta home kwa jasho....acha utani bwana na hii kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…