wanawake siyo.

wanawake siyo.

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,115
Jamaa yangu alipata mpenzi tokea first yr mpaka wanahitimu walikuwa wanaish wote jamaa alikuwa amepanga,demu kwao kdogo hazkuwepo so loans hyohyo ndo alpe ada na matumiz,jamaa kwao alikuwa analipiwa ada na mkwanja kdogo alipewa plus loans so akawa anampga tafu demu wake,mpaka wamehtimu wamendelea ishi wote tena hawana kaz jamaa akawa anafunsha tuition ndo wanapata hela ya kula,demu akawa yupo tu,wakat mwngn walilala bla kujua kesho watakula nn?mara demu kapata ajira kwan alsomea ualimu,akapangiwa dsm bas demu wake akahama kwa jamaa akapanga rum yake,jamaa akaendelea na maisha yake akawa anamtembelea demu wake,wakashauriana wachange wachukue chumba na sebule waish wote wakafanya hvyo,wakaanza ishi wote,huku jamaa anapga tempo ya kufundsha mara demu kabadlika kaanza mtukana jamaa mara demu aknunua kama ni mchele hatak jamaa auguse,matus kama ms.ng.e,mpumbavu,unafilwa,mjinga yametawala jamaa hajui afanye nn? Ushauri plz.
 
Hajamuudhi wa kwetu jamaa ni mpole sana pia mkimya na ameokoka demu wake ni mropokaji sana si mara ya kwanza huyu demu wake kumtusi bt jamaa alikuwa anamsamehe bure,wakat mwngn demu wake alikuwa anaondoka hazpiti wk mbli anajrudsha wanaendelea kuishi,now imekuwa too much hasa baada ya demu kupata kaz jamaa bado anajtafutia kaz huku anapga vitempo vya hapa na pale,mi nimemshauri jamaa yng aachane nae na akapange kivyake.
 
kumbe ndo maana huwa mnaandamana mkinyimwa loan, huwa hamzitumii kutafutia elimu, mnaolea ma binti za watu huko vyuoni
 
Fadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????

Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!

Bora Lara umekuwa mkweli, jamaa na yeye mchele wa watu anagusa wa nini au wanafunzi hawatoi hela huko anakofundisha?
 
Afadhali kamjua mapema. Wanawake wa hivyo ndo babako akija kuugua hapo anamnyima mboga na sabuni ya kuogea. Achape lapa, Mungu kamfunulia siri mapemaaa! Anataka kulilia vijisent vilivyopita wakati umilionea unamngojea!
 
Mtu kaomba ushauri nyie mnaanza kashifa si ubinadamu bt all in all only God know,ndiyo kauli ya jamaa anayoisema,jamaa hatunzwi na mwanamke kama mnavyodhan anajitegemea na msosi ananunua na kodi ya chumba anatoa na aliyetaka waish wote ni demu mwenyewe over! Out of hapo endeleen na kashfa zenu wanawake hamna shukran dunian hapa tunapta tu,nyambafu pesa ztakufksha wapi?jamaa yng namuonea huruma he is a man of ze people.
 
Hajamuudhi wa kwetu jamaa ni mpole sana pia mkimya na ameokoka demu wake ni mropokaji sana si mara ya kwanza huyu demu wake kumtusi bt jamaa alikuwa anamsamehe bure,wakat mwngn demu wake alikuwa anaondoka hazpiti wk mbli anajrudsha wanaendelea kuishi,now imekuwa too much hasa baada ya demu kupata kaz jamaa bado anajtafutia kaz huku anapga vitempo vya hapa na pale,mi nimemshauri jamaa yng aachane nae na akapange kivyake.
Aendelee tu kumsamehe bure kama alivyokua anamsamehe hapo kabla. Hamna haja ya kulalamikia hali aliyolea na kuikubali mwenyewe.
 
Bora Lara umekuwa mkweli, jamaa na yeye mchele wa watu anagusa wa nini au wanafunzi hawatoi hela huko anakofundisha?

ulza ujibiwe achana na prejudgement mtu mzma wa kwetu,mi hawa watu nawajua A-Z nmesoma nao na hapa walpo ni majran zangu,huwa wamejiwekea utaratbu wa kununua menu ndan unakuta jamaa akpata ananunua kama ni unga kiroba,maharage ya kutosha na demu ake nae vivyohvyo akpata anafanya hvyo tatzo mmeng'ang'ania eti jamaa anafugwa achen hzo bana.
 
Sio kila kitu kinafanyika kwa sababu,na hata kama sababu ikipatikana sio lazima iletwe na mtu tofauti na wewe
"
Kama umeamua kunywa soda,kunywa kwa kuwa unataka na sio mtu kakusababisha!
 
Afadhali kamjua mapema. Wanawake wa hivyo ndo babako akija kuugua hapo anamnyima mboga na sabuni ya kuogea. Achape lapa, Mungu kamfunulia siri mapemaaa! Anataka kulilia vijisent vilivyopita wakati umilionea unamngojea!

amina. Ubarikiwe tampa haya maneno yako ajsomee.
 
Tenda wema huende zako usingoje kurudishiwa..

By the way unapomfadhili mtu unafanya investment au unasaidia tu, ingawa huyu dada ana kosa ila hatujui huyu mwanaume anamtreat vipi sababu wengine sababu tu alikupa penseli wakati unasoma primary anategemea sababu unafanya kazi benki umpe mkopo bila collateral
 
Hajamuudhi wa kwetu jamaa ni mpole sana pia mkimya na ameokoka demu wake ni mropokaji sana si mara ya kwanza huyu demu wake kumtusi bt jamaa alikuwa anamsamehe bure,wakat mwngn demu wake alikuwa anaondoka hazpiti wk mbli anajrudsha wanaendelea kuishi,now imekuwa too much hasa baada ya demu kupata kaz jamaa bado anajtafutia kaz huku anapga vitempo vya hapa na pale,mi nimemshauri jamaa yng aachane nae na akapange kivyake.

kweli kuokoka si kazi kazi kutunza wokovu maana kama jamaa ameokoka nini kilimfanya aishi na binti kinyume na maagizo ya Neno la Mungu ndo maana hata yote hayo yanamkuta si kwamba namuhukumu ila ni hali halisi
 
Hizo ndizo adha za kutegemea kipato cha mwanamke. Mwambie jamaa yako avumilie au asepe wenye uwezo wachukue mzigo.
 
kweli kuokoka si kazi kazi kutunza wokovu maana kama jamaa ameokoka nini kilimfanya aishi na binti kinyume na maagizo ya Neno la Mungu ndo maana hata yote hayo yanamkuta si kwamba namuhukumu ila ni hali halisi

sawa mkuu hili nalo ntamfikshia ili asjerudia kosa mara ya pili sawa wa kwetu.
 
Tenda wema huende zako usingoje kurudishiwa..

By the way unapomfadhili mtu unafanya investment au unasaidia tu, ingawa huyu dada ana kosa ila hatujui huyu mwanaume anamtreat vipi sababu wengine sababu tu alikupa penseli wakati unasoma primary anategemea sababu unafanya kazi benki umpe mkopo bila collateral

sawa mkuu tamfkshia zote jumbe zenu may God bless u.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom