Wanawake sio watu wazuri

Pole sana hawa Viumbe nyoka sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu wote walioenda kupima walikuwa na mashaka na uzao wao hivyo probability ya kukuta sio wao ni kubwa mno. Ni sawa na hospitali asilimia kubwa ya wanaoenda hospitali aidha nki kuwa wanaumwa au Wana uhitaji wa huduma za afya, ni Mara chache kukuta machinga au fundi ujenzi akizengea zengea hospitali.
Kama sikosei, ripoti ya mkemia mkuu mwaka 2018 ilisema kati ya wanaume waliopima asilimia 78 waligundua watoto siyo wao.

#KuchapiwaHakuepukiki
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
#KitandaHakizaiHaramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja ya DNA huyo mtoto sio wako. Lala mbele mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofu kozi
 
Haina haja ya DNA huyo mtoto sio wako. Lala mbele mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakuwa kwel maana ni misukosumo tu toka siku ya kwanza nakumbuka baada ya kusex nae eti akaanza kunilaumu eti nimemkojolea nikamwambia acha ufala nenda bafuni ukaoge uyu inaonekana mimba alishaibeba mda so akatafuta game ili arishie huku sasa kaja kukuta mm mbish kila cku ni bra bra tu
 
Hao ndio kina Delila. Wanakugeuka saa yoyote na dakika yoyote alimradiapate uelekeo. Vitabu vya dini vimekuelekeza uishi nao kwa akili, vinginevyo wakikuzidi umekwisha.Unatakiwa kuishi nao kijeshi
 
Dah pole sana. Ila sio wote. Huyo dada alikua na jamaa lake la pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa karibu na mtoto na unaijua historia ya ukoo wenu damu isiyo yako utaijua tu. Haitafika miaka miwili bila kujua kila kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Noma sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…