Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,039
Mbwa mwenyewe, kenge mkubwaIla kweli hata mm nikipataga kamshahara kangu nawaonaga kama ma'mbwa tuu
Hahhaha natania sipo hivyo[emoji12] [emoji12]
Mbona hujamalizia kusema unatania??[emoji17] [emoji17]Mbwa mwenyewe, kenge mkubwa
Oooh sorry kumbe utani samahani sana dadangMbona hujamalizia kusema unatania??[emoji17] [emoji17]
Ayaa mwayaa[emoji17] [emoji17]Oooh sorry kumbe utani samahani sana dadang
Nashukuru busara zimekujaa maana angekuwa mwingine ange react aggressively bila kujua, May God energize youAyaa mwayaa[emoji17] [emoji17]
Nakuomba pm Mara mojaAyaa mwayaa[emoji17] [emoji17]
Never mention, I don't take anything too seriously! Stay blessedNashukuru busara zimekujaa maana angekuwa mwingine ange react aggressively bila kujua, May God energize you
Tangulia mdogo wanguNakuomba pm Mara moja
Itakuwa kajisahau tu kuwa ni utaniMbona hujamalizia kusema unatania??[emoji17] [emoji17]
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1] papuchi imekuwa kma maji ya dawasco, mgaoMwanamke mwenye pesa ana roho mbaya Zaid ya shetani,kama wewe ndie umemuoa af huna mchongo basi hesabu umeolewa rafiki maana ata papuchi utaipata kwa mgao
Ndo keshanitukana lakiniItakuwa kajisahau tu kuwa ni utani
Aisee?!!Raha ya mahusiano mwanaume akuzid pesa bhana ....... Sasa eti mim niwe na pesa kuliko mpenz wangu daaaah cjui hata kama nitakuwa napata nye..ge !!!
Kumbe kumwekea mtu sumu akafa nia huruma hiyo??? CheKama siyo kuwa na huruma mwanmke ni kiumbe hatari sana, embu angalia..
Mwanaume akiwaza mfunza adabu mwanamke atampiga vibao vyakutosha. Ila mwanamke akiwaza mfundisha adabu mwanaume atamuwekea sumu kwenye msosi ale afie mbali huko
Ila tumshukuru Mungu kawapa huruma hawa dada na mama zetu.
AnamaanishaMbona hujamalizia kusema unatania??[emoji17] [emoji17]