Wanawake sio watu wazuri

Leo umegusa kunako, 2015 nkiwa mwaka wa tatu nkamtafutia mama mtoto job, magu namaliza ajira magumashi, leo mama mtoto hata kuniona hatak kisa kashapanda mpk cheo na maisha yake super si tulosahaulika na neema ya magu ndo kashatuona majuhaaa.. Nmeuchuna km yeye... Tuone mwisho wa 2ku atamwambia baba ake yupo wapi
 

Power ya pesa ikiwepo utaona watu wanafanana tabia
 
Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango
Hahahaha
Kazi kweli kweli
 
nani kasemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango
hahahahahahaahha makubwaaa
 
Mmmh mkuu sio wotee,wapo ambao hata mme wake akiwa hana kituu anamtuza vizuri san na wanaamani san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…